Bibi wa Dunia

Bibi wa Dunia

Bizney

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2013
Posts
454
Reaction score
48
Wapendwa huyu ndo bibi yetu anaye sadikiwa kuwa na umri mkubwa kuliko wote Duniani.
 
Samahani sikuwa nimeweka picha
 

Attachments

  • 1045220_644065192287661_1578240426_n.jpg
    1045220_644065192287661_1578240426_n.jpg
    42.3 KB · Views: 1,689
Ana miaka mingapi? Mambo ya kusadikika bado yapo tu? Kuna bibi pale Marangu chini alikuwa na Mtoto wake Mtawa ana miaka zaidi ya 140

 
aiseeee baba yangu huyo wa marangu ninamfahamu vizuri sna

Mkuu kumbe na wewe Wamfahamu sio hoho basi Bibi yule ndie haswa anayestahili kuwa Binadamu mwenye umri mkubwa zaidi... Mimi nilimuona kwa Macho yangu kwenye wheel chair yake kipindi hicho alikuwa ana kama miaka 135 hivi nasikitika Mwaka huu sijaenda Kumuona kulitokea Msiba pale Nyumbani kwake wa mjukuu Mbuya
 
Heaven on earth, Unaogopa uzee wakati unaishaingilia Happy Birth Day kwa nguvu zote ?????????
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom