Bibi Tina wa Mwananyamala

Kuna siku nilienda kumsalimia kaka yangu miaka ya nyuma maeneo ya banana nikiwa mwanafunzi wa chuo kikuu..

Usiku wa kwanza tu usiku wa manane nilishtuka na kwa macho yangu nikaona watu wawili chumbani nilibaki kama nimepigwa na ganzi ila taratibu walipotelea kwenye pembe ya ukuta..

Hakika tangu siku hiyo niliamini uchawi upo.

Na cha ajabu kesho yake asubuhi kuwasimulia wakanieleza wanaelewa ni jirani yao ana hiyo michezo maana kila wakijaribu kufuga mbwa lazima mbwa afe ila wataipata tu dawa yake
 
Siku zote mchawi aliyekamatwa usithubutu kumgusa lazima likupate jambo. Otherwise ukifanya hivyo uwe nawe umechemshwa kwenye pipa la ukweli ukaiva.
 
Kumbe ukichoma udi mchawi hasogei!!![emoji15] [emoji4] , mi nimepanda mzaituni pembeni, wachawi nawasikia mtaa wa jirani huku hawasogei
 
Kumbe ukichoma udi mchawi hasogei!!![emoji15] [emoji4] , mi nimepanda mzaituni pembeni, wachawi nawasikia mtaa wa jirani huku hawasogei
[emoji23][emoji23][emoji23]wanakusonya kama nawaona
 
[emoji23][emoji23][emoji23]wanakusonya kama nawaona
Siku nitayomkamata mchawi, atajuta kuzaliwa. Nina bakora ya mpira wa tairi itamuishia mwilini. Actually huwa siwaogopi kabisa wachawi, nina confidence sana kwa wachawi ila sijui ni kwanini nakuwa na huu ujasiri
 
[emoji23][emoji23][emoji23]ndo maana huwakamati kwani unadhani nao hawana akili
 
[emoji23][emoji23][emoji23]ndo maana huwakamati kwani unadhani nao hawana akili
Et kwanini manyaunyau akimkamata mchawi anamnyoa nywele? Na Mimi nikimkamata nikamnyoa na kumtembezea kichapo si ndo itapendeza zaidi? Au mpaka unywe damu ya paka?[emoji4] [emoji4]
 
Et kwanini manyaunyau akimkamata mchawi anamnyoa nywele? Na Mimi nikimkamata nikamnyoa na kumtembezea kichapo si ndo itapendeza zaidi? Au mpaka unywe damu ya paka?[emoji4] [emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nywele hubeba chaja ya nguvu za giza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…