"Bibi Nisamehe...Najuta"

Chama cha wachagga.

Kama wewe si mchagga kikimbie kama ukimwi
 
Bado anajuta yeye au unajuta wewe ?
 
Huyo Hg wako atakuwa na mapepo yaaani jini anaona ni mtu
 
Yaani house-girl anakuperemba umuongezee mshahara na weye unafyatuka kuimba nyimbo?Bibi hopeless material kweli!
 
Hii comment yako nimecheka kwa nguvu hahaha una majibu yanayokera
mpaka muda mwingine nahisi wewe ni mama dangote (mama diamond)maana kwa majib mmefanana
Kunifananisha na yule mama asiye na adabu ni kunitukana. Naomba futa kauli yako.

Wengi humu hunichokonoa makusudi tu niseme hovyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…