Wengi wnajuta.
Mi nina rafiki zangu niliwaondoa mpaka fb, wananiomba msamaha. Ila mimi sijawasamehe maana walinitukana sana, wengine mpaka kusema eti nina mapepo. Ila mi nachoona mzee mamvi alitumia nguvu za giza.
Maana kuna watu kama akina baergu, lisu na msigwa na akina lema ambao nilikuwa nawaamini ni wapiganaji ila wapi bwana, mamvi aliwashika akili wakawa wanafurahi.