Bibi ‘mchawi’ aanguka wakati akiwanga chanika

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,956

Watu wakimshangaa bibi aliyedaiwa kuwa mchawi. Ni aliyekaaa katikati.

...Akiwa amepewa chakula, wali na maharage, na Wasamaria wema.

Akiwa kapakatia sahani la wali aliopewa.

Watu waliokusanyika kumshangaa.
​
BIBI mmoja ambaye hakuweza kupatika jina lake mara moja jana majira ya saa mbili usiku maeneo ya Chanika, jijini Dar es Salaam alianguka wakati akiwa katika harakati za kuwanga ambapo wakazi wa hapo walimkamata na kuanza kumhoji kwa maswali mbalimbali.

CHANZO.BIBI ‘MCHAWI' AANGUKA WAKATI AKIWANGA CHANIKA - Global Publishers

WABONGO ACHENI IMANI POTOFU BIBI WA WATU HAJALA CHAKULA KUTWA NZIMA AMEANGUKA WATU WANASEMA ETI NI MCHAWI AHHHHH WADA-GANYIKA KWA KUOGOPA UCHAWI MUMEZIDI JAMANI.
 
yani akamatwe kwa kuwanga halafu apewe sahani la wali huo si ndo uongo.
 
Fikira duni sijui sitaisha lini. Huyu bibi mzee anastahili msaada na heshima badala ya kejeli. Ni muda umefika watanzania tuweke mawazo yetu katika karne tuliopo
 
Wanampakazia tu huyu bibi ila ukimuangalia anafanana na Matonya sjui ni sister wake? Kama itakua ni sister wake basi itakua amebanwa NENGE na wala sio mwanga maana hana zana

Watu wakimshangaa bibi aliyedaiwa kuwa mchawi. Ni aliyekaaa katikati.

...Akiwa amepewa chakula, wali na maharage, na Wasamaria wema.

Akiwa kapakatia sahani la wali aliopewa.

Watu waliokusanyika kumshangaa.
​
BIBI mmoja ambaye hakuweza kupatika jina lake mara moja jana majira ya saa mbili usiku maeneo ya Chanika, jijini Dar es Salaam alianguka wakati akiwa katika harakati za kuwanga ambapo wakazi wa hapo walimkamata na kuanza kumhoji kwa maswali mbalimbali.

CHANZO.BIBI ‘MCHAWI' AANGUKA WAKATI AKIWANGA CHANIKA - Global Publishers

WABONGO ACHENI IMANI POTOFU BIBI WA WATU HAJALA CHAKULA KUTWA NZIMA AMEANGUKA WATU WANASEMA ETI NI MCHAWI AHHHHH WADA-GANYIKA KWA KUOGOPA UCHAWI MUMEZIDI JAMANI.
 
Kila siku najiuliza sipati jibu, hawa wabibi huwa wanaonekana wanavyoshuka toka angani au wanakutwa tu wamekaa chini? Hali ya waTZ inaeleweka, inaweza ikawa bibi wa watu amejikalia chini tu nasi tunaibuka na kusema kadondoka mchawi!
 
Wazee wengi wana ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu (dementia au Alzheimer). Mara nyingi wakiwa na hali hii wanakuwa wamechanganyikiwa na wanweza kusema na kukubali kitu chochote kile ambacho watu wenye akili sawa wataona ni cha ajabu. Watu kama hawa wanahitaji msaada na sio kuwadhihaki na kuendeleza imani za kishirikina.
 
Ah, jamani huyu bibi ana akili kinoma. Yaani kajiangusha makusudi ili apewe mlo? Nauliza, huo wali na maharage aliomba yeye au alipewa tu? Maana kuna wengine wanafanya vituko wakikamatwa wanakuambia nataka biriani ama pilau. Ila ana nguvu, yaani kujiangusha toka juu kote huko bila hata kuvunjika, ni mzee kweli huyu?
 
Wazee wengi wana ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu (dementia au Alzheimer). Mara nyingi wakiwa na hali hii wanakuwa wamechanganyikiwa na wanweza kusema na kukubali kitu chochote kile ambacho watu wenye akili sawa wataona ni cha ajabu. Watu kama hawa wanahitaji msaada na sio kuwadhihaki na kuendeleza imani za kishirikina.
Mkuu Dingswayo Useme hivyo kwa Watu waliosoma sio kwa walala hoi hata wewe

ukianguka usiku mbele za watu. Watu watasema wewe ni Mchawi yaani hawa Wananchi hawakwenda shule ndio maana

fikira zao ni mambo ya Uchawi hawafikiri mambo ya maana zaidi ya Uchawi. Ndio maana hatuendelei nchi yetu kila siku

tunakuwa wajinga wa mwisho kimaendeleo, na umasikini ndio nyumbani pake kwa Wa-Danganyika.Ahhhhhh
 
Watu wakimshangaa bibi aliyedaiwa kuwa mchawi. Ni aliyekaaa katikati.

...Akiwa amepewa chakula, wali na maharage, na Wasamaria wema.

Akiwa kapakatia sahani la wali aliopewa.

Watu waliokusanyika kumshangaa.
​
BIBI mmoja ambaye hakuweza kupatika jina lake mara moja jana majira ya saa mbili usiku maeneo ya Chanika, jijini Dar es Salaam alianguka wakati akiwa katika harakati za kuwanga ambapo wakazi wa hapo walimkamata na kuanza kumhoji kwa maswali mbalimbali.

CHANZO.BIBI ‘MCHAWI’ AANGUKA WAKATI AKIWANGA CHANIKA - Global Publishers

WABONGO ACHENI IMANI POTOFU BIBI WA WATU HAJALA CHAKULA KUTWA NZIMA AMEANGUKA WATU WANASEMA ETI NI MCHAWI AHHHHH WADA-GANYIKA KWA KUOGOPA UCHAWI MUMEZIDI JAMANI.

Huyu si sawa na mama zetu jmn? Umejuaje km ni mchawi? Loh poor-minded
 
Bibi mzuri,mashallah,nimempenda,namkubuka bibi angu mzaa mama,alikuwa mnyamwezi wa Tabora,Akaolewa na babu angu,walikutana bado vijana,mimi nimekuja mkuta ni mzee kama huyo.Bibi nimempenda sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom