BIBI AMEAMIA CHADEMA
BAADA YA KUAMBIWA KUWA CCM NI YA FAMILIA ZIFUATAZO
1.LOWASSA
2.MKAPA
3.KINANA
... 4.CHENGE
5.MWINYI
6.KARUME
7.ROSTAM
8.SITTA
9.MRAMBA
BIBI ALIPOGUNDUA FAMILIA YAKE HAIPO, NIKAMWAMBIA HAWAKUJUI
HIVYO TUSIO CCM WOTE TUKO CHADEMA,
BIBI ALITUPA KILEMBA CHA CCM NAKUOMBA SKAFU NILIYOKUWA NIMEVAA NA KUMPA
UKOMBOZI NI SASA
Source: Mimi mwenyewe
BIBI AMEAMIA CHADEMA
BAADA YA KUAMBIWA KUWA CCM NI YA FAMILIA ZIFUATAZO
1.LOWASSA
2.MKAPA
3.KINANA
... 4.CHENGE
5.MWINYI
6.KARUME
7.ROSTAM
8.SITTA
9.MRAMBA
BIBI ALIPOGUNDUA FAMILIA YAKE HAIPO, NIKAMWAMBIA HAWAKUJUI
HIVYO TUSIO CCM WOTE TUKO CHADEMA,
BIBI ALITUPA KILEMBA CHA CCM NAKUOMBA SKAFU NILIYOKUWA NIMEVAA NA KUMPA
UKOMBOZI NI SASA
Source: Mimi mwenyewe
hata anavyoonekana bado hajaamini !!!!.....na hapo hujamgusia kuhusu Tembo aliechongwa kule KLM kana kwamba hili Taifa nila ibilisi
Mkuu avatar yako inasababisha nizime laptop; mjukuu wangu akiiona analia sana anasema unataka kummeza. Basi angalau toa hoja za mshiko.watu kwa kufanya wenzio sanamu za kupigia picha ili wapate sifa?? hii ni dhambi mkuu..
Acheni kuwatumia watu kwa maslahi yenu,bibi anaonekana kabisa kama amedata,unamvisha skafu halafu unasema amehamia cdm.
Ama kweli masisiem mmevimbiwa kama lukuvi na kinana aka weka mbali na tembo,huu ufukara mliousababisha kwa watu wamechakaa leo hii mnasema amedata???Laana hii haitawaacha kamwe!!!Acheni kuwatumia watu kwa maslahi yenu,bibi anaonekana kabisa kama amedata,unamvisha skafu halafu unasema amehamia cdm.
Jamani anatia huruma, ni PM namba yake nimtumie pesa ya kumkaribisha CDM
Ni wapi huko ?
Wee bibi humuogopi BABU? Tabia yake mbaya anapora wake wa watu usije ukawa mke wa pili wa BABU!!!! Ukimwona BABU kimbia usiangalie nyuma bibi yetu maana BABU hana simile...