Bibi kizee ahamia CHADEMA

Bibi kizee ahamia CHADEMA

Mzito Kabwela

Platinum Member
Joined
Nov 28, 2009
Posts
18,904
Reaction score
7,746
393152_168393706660280_221615180_n.jpg




BIBI AMEAMIA CHADEMA
BAADA YA KUAMBIWA KUWA CCM NI YA FAMILIA ZIFUATAZO
1.LOWASSA
2.MKAPA
3.KINANA
... 4.CHENGE
5.MWINYI
6.KARUME
7.ROSTAM
8.SITTA
9.MRAMBA
BIBI ALIPOGUNDUA FAMILIA YAKE HAIPO, NIKAMWAMBIA HAWAKUJUI
HIVYO TUSIO CCM WOTE TUKO CHADEMA,
BIBI ALITUPA KILEMBA CHA CCM NAKUOMBA SKAFU NILIYOKUWA NIMEVAA NA KUMPA
UKOMBOZI NI SASA

Source: Mimi mwenyewe
 
hata anavyoonekana bado hajaamini !!!!.....na hapo hujamgusia kuhusu Tembo aliechongwa kule KLM kana kwamba hili Taifa nila ibilisi
 
Tuta komboa weng kipind hiki.
Hii ndo kaz tunayotakiwa kufanya vijana wa CDM nchi nzima chin ya M4C.
Hapa ni mtu kwa mtu had kieleweke.
Cdm makao makuu andaa kad,skaf, tishet na kofia kaz ni moja kuikomboa tu nchi yetu.
 
CCM wako bize kutengeneza video fake! Duh kweli la kuvunda....
 
Jamani anatia huruma, ni PM namba yake nimtumie pesa ya kumkaribisha CDM

Ni wapi huko ?
 
Muda unavyokwenda ndivyo watu wanavyozidi kuamka.
 
Acheni kuwatumia watu kwa maslahi yenu,bibi anaonekana kabisa kama amedata,unamvisha skafu halafu unasema amehamia cdm.
 
Mhamasise ajiandikishe kupiga kura 2015 ndo muhimu zaidi. Moja moja ndo uzaa mia
 
huyo bibi atakuwa mchaga tu wa hai,naona anafanana na mbowe
 
watu kwa kufanya wenzio sanamu za kupigia picha ili wapate sifa?? hii ni dhambi mkuu..
 
mwakibinga 2nakukubali kwa convincing power kubwa uliyonayo mpaka umembadilisha bibi... All da best 2015 kwako ubunge ni lazima bse ww ni jembe..
 
Acheni kuwatumia watu kwa maslahi yenu,bibi anaonekana kabisa kama amedata,unamvisha skafu halafu unasema amehamia cdm.

We shida yako nini? Hamia na wewe? Kudata kwa mtu unakupima kwa picha? Yaani nyie watu hamna akili kabisaa eh,mmepagawa?
 
huyo bibi atakuwa mchaga tu wa hai,naona anafanana na mbowe

Hata kama,kwani wao siyo watz? Endeleeni kujipumbaza na hivyo vihoja wakati lichama lenu linajifia. Kama kawa, waiter,tupia na mimi kinana(tusker) tano bariiiiiidi tafadhari!.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom