Bibi hatari kwa kupinga hana mpinzani

Bibi hatari kwa kupinga hana mpinzani

mama la mama

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2013
Posts
304
Reaction score
152
BIBI HATARI WA KUPINGA.. Kuna bibi m1 alienda
benk
kufungua account bt
alivyofka benk akawa
anataka aonane na
manager kwanza.... Customer service wakamzuia wakidai boss
yupo busy hataki kuonana
na m2 by dat tym... Wakati
mzozo unaendelea
manager akatoka ofisin kwake, akamwita yule
bibi amsaidie shida yake... Bibi akaenda ofisini na
manager, maongez
yakawa hv..
... .
MANAGER: "Unashda gani
bib i!?!" BIBI: "Nataka kufungua
account, niweke milion 30
zangu..."
MANAGER: "Mmmh!! Mbona
unaonekana mzee sana,
pesa zote umezitoa wap?!? BIBI: "Nimezipata kwenye
mchezo wa KUPINGA, hata
wewe ukitaka 2naweza
pinga tu!!!"
MANAGER: "Mmh,
2napingaje?!? BIBI: "Aaah, rahisi sana, mim naweka hizo milion
30 na wewe weka hizo
hizo, mpaka kesho sa nne
asubuh sehem zako za siri
zitakua ngumu sana kama mawe... Zisipokua
hivyo umenila zikiwa nimekula
wewe..."
MANAGER: "Mmmh, sawa
hamna shida...." Kesho asubuhi saa nne yule
bibi alikuja na mzee
mwingine pale benk... Manager alivyomuona bibi akamwambia,
"Bibi umeliwa!! Sehem
zangu za siri zipo kama
kawaida
..." BIBI: "Sawa mjukuu
wangu, sasa mimi nitaaminije bila
kuzishika..?!?"
MANAGER: "Njoo 2
uhakikishe bibi..." Bibi akaenda akaanza
kumshika yule manager
nyeti zake... Wakati anamshika vile yule mzee
aliekuja nae akawa
ameshika kichwa huku anatukana tukana na
machozi yakimlenga.... Manager akamuuliza bibi,
"Vipi mbona yule mzee
uliyekuja nae kawa vile....?!?" Bibi akamjibu,
"Aaah, yule nilipinga nae
kwa milion 90 kuwa
naweza kumshika
manager wa benk sehemu
zake za siri akabisha ndo nikapinga nae... So ndo kashaliwa pale..."
 
Ila hyo manager wa benk,c kajzolea na yy 30m
 
bibi kiboko...waliosoma wasio na ajira jamani wanaweza wakapata idea kuliko kuendelea kutafuta ajira zisizopatikana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom