Bibi harusi na bwana harusi walibebwa na range rover

Bibi harusi na bwana harusi walibebwa na range rover

craq

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2017
Posts
859
Reaction score
1,866
aadf93ddcf3572a7b7c6516133cb907e.jpg
 
Fuso ilipopaki hapo wala hakukua na haja ya kuwekewa maelekezo kuifkia.....
 
Halafu mambo ya kidume unakuwa Andunje haya baba wa Taifa alikataza. Apewe raizoni ngazi nne.Uelekeo wa mshale mwekundu nimezingatia ndiyo maana bwana harusi akili yake ipo "nyuma" tu.
 
Jamani wana JF kwa kuchokonoa mambo nswavulia kofia. Nyie huyu mama aliyejaliwa ni mama mdogo wa bibi harusi mwamutafutilizia kwa nini? Mwacheni mama mdogo wa bibi arusi ajimwayemwaye kwa raha zake! Nawasilisha, wa kununa na anune, wa kucheka na acheke!! Ukiona vyaelea vimeundwa, mutakula kwa macho na fahari ya macho haifilisi duka. Angalieni video clip yake hapa chini wakati akiji mwaya mwaya!
 

Attachments

Back
Top Bottom