Bibi harusi atoweka siku saa chache kabla ya harusi

Bibi harusi atoweka siku saa chache kabla ya harusi

Baba mchungaji kawahisha ndoa, wakati binti alikuwa bado a nafanya chaguo, hakuja kuwa "yes" ya Mwanamke huwa ni kinyume chake.
 
Halafu Mara nyingi katika matukio haya, waingia Mitini ni wanawake, tuwe makini.
 
Wakuu leo ilikuwa ni siku ya harusi ya aliekuwa mchungaji wangu.

Lakini katka hali ya kushangaza,,
Bibi harusi hajaja kwenye ukumbi wa harusi.

Yaani sendoff imefanyika kwao jana alafu leo siku ya harusi mwanamke ameingia mitini.
Cm inapigwa hapokei.

Maandalizi yote yalikuwa tayari yamefanyika na bwana harusi alikuwa ukumbini akimsubili bibi harusi ,hadi muda huu naandika cm hapokei na watu wametawanyika.

Sasa najiuliza hivi watu huwa wanafikiria vizuri kweli kabla ya kutenda jambo,,kweli unamuacha mtu siku ya harusi yenu...watu wamejiandaa ,,wanawasubili unakimbia

Namuonea huruma sana mchungaji wangu,,usiku wa leo utakuwa mgumu sana kwake
Wakuonewa huruma ni mchungaji au bwana harusi alieachwa?
 
Ilishatokeaga demu Ile asubuhi kabla hajaenda saluni akaenda Kwa jamaa Ake kupigwa cha mwisho mwisho, kufika Kwa jamaa, jamaa akaficha ufunguo akazuga hauoni kuanzia saa 2 asubuhi kuja kuupata saa 12 jioni.
Akawa anampelekea Moto tu.
 
Back
Top Bottom