Bibi harusi atimua mbio katikati ya harusi

Huyo bwana harusi ni tozobe!
Angekuwa anamkata mashoka ya ukweli bi dada angekubali ndoa bila figisu!
Hawa mbona hawanaga ujanja ukikamatia chini mpaka kwenye gololi..... !
Zari yule pale anazaa tu sasa.....!
Mmh! Ngoja ninyamaze!
 
Huyo bwana harusi ni tozobe!
Angekuwa anamkata mashoka ya ukweli bi dada angekubali ndoa bila figisu!
Hawa mbona hawanaga ujanja ukikamatia chini mpaka kwenye gololi..... !
Zari yule pale anazaa tu sasa.....!
Mmh! Ngoja ninyamaze!
Wewe umeshatangaza kwa wenzako wote unalolewa na Dongote, leo uje ugundue ni msela tu wa mtaani
 
Kama huyo jamaa anafanya kazi kwenye hio kampuni kubwa hio harusi ingelifanyiwa uswahilini??
 
Huyu mwanamke alimpenda mwanaume sababu ya hiyo kampuni na hakumpenda yeye...
 
Bora nizeekee huku shamba aiseeee....[emoji5]
 

Tatizo siyo la binti. Mwenye makosa ni uwongo wa kijana. Kwa nini hakuwa mkweli? Kama kadanganya suala la ajira ambalo liko ni la kawaida na liko nje, ataaminika vipi kwa mengine? Kumbuka katika kujenga familia kuna masuala makubwa na ya muhimu kuliko ajira. Akiwa mwongo kwenye ajira, tena wakati wa uchumba, atakuwa mkweli vipi kwa mengine?

Huyu binti nimempenda sana. Anaona maisha ya jianaume liongo ni jehanum. Mshahara wa udanganyifu!. Mtu mwongo haaminiki kwa lolote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…