Bibi asherehekea miaka 210 ya kuzaliwa.

Bibi asherehekea miaka 210 ya kuzaliwa.

Acha unaa miaka 122 unaona Mingi?kuna watu wanaishi hadi miaka 160 na 78 days for example njoo huku Songea ujionee Maajabu hao Guinness rekodi za Africa wanazo?huku Songea nimejionea maajabu tangu nizaliwe
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] shida mkiambiwa.kuthibitisha ndio.shida inapoanzia

Atakutajia majira aliyozaliwa bila kuwa na.vielelezo
 
Acha unaa miaka 122 unaona Mingi?kuna watu wanaishi hadi miaka 160 na 78 days for example njoo huku Songea ujionee Maajabu hao Guinness rekodi za Africa wanazo?huku Songea nimejionea maajabu tangu nizaliwe
Huyo jamaa anaiamini Sana Guinness kumbe nao Wanaweza kwenda Chaka.
 
Kuna watu wana bahati
Nimeenda tanga juzi Kati nimekuta Bibi wa baba mkwe wangu
(Bibi aliyemzalia mama yake)
Baba mkwe wangu Ana 67, mama yake alimzaa baba mkwe wangu akiwa na 18, Sasa huyu Bibi anakimbilia 90+ lakin ananguvu, anachota maji,anaenda shamba,anapika anafanya Kazi zake zote haumwi chochote na saa kumi na moja yupo macho
 
Sisi vijana wa siku hizi tunazeeka haraka kwasababu ya maisha tunayoishi.
 
Wewe ndio Japhet Mosha aliye like hiyo picha huko kwenye facedanga page ya Wanaija?
 
Probably ni typing error, mbili ipo katikati ya moja na sifuri (120), miaka 210 labda kizazi cha mitume huko. Ila hizi modern human hicho kitu h a k i w e z e k a n i 🤓 🤓 🤓
 
Probably ni typing error, mbili ipo katikati ya moja na sifuri (120), miaka 210 labda kizazi cha mitume huko. Ila hizi modern human hicho kitu h a k i w e z e k a n i [emoji851] [emoji851] [emoji851]
Kwanini isiwezekane??. Kuna mwenzetu humu ametoa ushuhuda kuwa huko Ruvuma kuna bibi wa miaka 167.
 
Binadamu wa kwanza katokea Africa, binadamu wa kwanza kuishi maisha marefu kuliko wote pia katokea Africa...
 
Back
Top Bottom