Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,370
- 14,517
Huyu ni bibi wa huko Pakistan, ambaye anatajwa kuwa mtu mwenye umri mkubwa kuliko wote.
Salute bibi wa bibi yake bibi...Huyu ni bibi wa huko Pakistan, ambaye anatajwa kuwa mtu mwenye umri mkubwa kuliko wote.
View attachment 1956999
Watu Wana bahati Sana.Salute bibi wa bibi yake bibi...
Kivipi??.CHAI KAMA CHAI ITAKUWA WALIKOSEA KUHESABU
CHAI KAMA CHAI ITAKUWA WALIKOSEA KUHESABU
Kwa hiyo huamini?.Tuoneshe lini aliingia kwenye Ginness Book
View attachment 1957132
Bibi wa Pakistan anapostiwa na Wanaijeria, si unawajua lakini?Kwa hiyo huamini?.
Hii sio bahati ni mateso, huyu alipo ni mti mkavu tuWatu Wana bahati Sana.
[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bibi wa Pakistan anapostiwa na Wanaijeria, si unawajua lakini?
Wewe hupendi kuishi sana???.Hii sio bahati ni mateso, huyu alipo ni mti mkavu tu
Kuishi miaka hadi unapoteza fahamu sitaki, nipewe uzee mwema inatoshaWewe hupendi kuishi sana???.
Kabisa ama cheti chake cha kuzaliwa.Tuoneshe lini aliingia kwenye Ginness Book
View attachment 1957132
Sawa MkuuKuishi miaka hadi unapoteza fahamu sitaki, nipewe uzee mwema inatosha
Kabisa anastahili, sio rahisi.Duh, hongera zake
bahatiii mateso?Watu Wana bahati Sana.
Mateso kwa kwelibahatiii mateso?