Bibi Alipotimiza miaka Mia

Duduwasha

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
5,703
3,653


Hongera bibi kwa kuvuta Sigara na kula Chumvi Nyingi..

bibi alipohojiwa alikuwa na haya ya Kueleza Shighala sio mbaya kawa watoto wa siku hizi wanavyosema mimi nimevuta miaka yote na sijafa wala kuhatarisha afya yangu..

Wakati huo huo Alisema CCM ikitoka madarakani nchi itaendelea zaidi ya America na ulaya.

Nikirepoti kutoka Tarimeeee Mkoani Maraaaaaaa Mimi ni George Maratoooooooooo
Waaa aiiii tiiiiiiiiiiiiiiii viiiiiiiiiiiiiiiiiii.
 
lol Figganigga mwache bibi a brunt siku yake ya iana mia... oi tigo ilikuwaje
 
Back
Top Bottom