Biashara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Biashara

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by neema pita, Aug 26, 2012.

 1. n

  neema pita Member

  #1
  Aug 26, 2012
  Joined: Apr 26, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  habari zenu wana JF naombeni msaada kwa mnaojua kuhusu hili. ninamtaji wa laki saba nataka kufungua biashara ya gems kwa watoto huku arusha nimeona niombe msaada wa mawazo hum kwanza kwa wenye ujuzi au kwa waelewa inalipaje? jamani maisha ni magumu mtaani naombeni ushauri na msaada kwa moyo mmoja ndugu zangu
   
 2. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #2
  Aug 26, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  gems = vito; una maana gani?
   
 3. n

  neema pita Member

  #3
  Aug 26, 2012
  Joined: Apr 26, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nachomaanisha ni computer games kwa watoto
   
 4. mischa

  mischa JF-Expert Member

  #4
  Aug 27, 2012
  Joined: Mar 29, 2012
  Messages: 374
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 45
  guess umemaanisha games za watoto,,maana gems as in gems ni precious stones used for jewelery
   
Loading...