Biashara zasimama Kariakoo

Mimi nafikir huyu ni chaguo la shetani anaenibishia atokeze pua yake nimpasue mwamba
 
Tumempenda wenyewe,chaguo letu wenyewe,wajanja wataendelea kuisoma namba,Mungu mbariki Rais wetu.Amen
 
Ushasema wamachinga,vp na wale wenye maduka ya hardware na electronic wamefunga pia??

Maduka ya simu jeh?vp na juice ya miwa leo hainywiki!!!??
 
Ungetumia umoja tu maana huo wingi unatujumuisha na tusiomuhitaji
 
Acha Uongo na Kupotosha watu wewe..
 

Waliojaza upepo sehemu ya akili kwenye vichwa vyao hawawezi kukuelewa!
wataelewa tu wape muda, hope unaweza kuona economic activities ilivo slow down, deplomasia imeshuka, democrasia hakuna tena, one man show ndo habari ya mjini, wanaangalia wenyewe, siku wakiamua mtakula ujinga wenu!
naamini viongozi wanazaliwa na wanaadaliwa, hapa kwettu?? mmmhhhhh! mtu hata simple economics hajui kabisa.
 
Hamia nchi jirani kama kenya au Gambia ambako bado nafasi ya kupiga dili ipo, kwa hapa tz hilo jambo halipo tena ndiyo maana inakuchanganya
Hujaelewa kwanini nimesema siielewi kwa mahaba uliyonayo umekuja mbio mbio kukoment.
Sasa nilichomaanisha ni hiki:
Hii nchi siieleweli kwa sababu wananchi hawa hawa wanaolalamika hali za maisha ni ngumu , Mara Magufuli amebana maisha
Wananchi hawahawa ndo leo wanasifia habari za Magufuli hili ndo linalonishangaza.
Usifikiri kila mtu ni mpiga dili, si kila mtu hapa jf ni mpinzani na sio kila mtu hapa jf ni Mwana-CCM
Wengine hatuna vyama wala hatujui siasa
 
Hii ni zamu yetu sisi wasukuma,imetuchukua muda mrefu kushika dola wakati sisi ndio wengi hapa nchini.mungu amlinde magufuli mungu ibariki tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…