Biashara za udalali ni jipu la kutumbuliwa

Biashara za udalali ni jipu la kutumbuliwa

Kama hutaki kutumia dalali tafuta mwenyewe, zunguka nyumba kwa nyumba au tafuta viwanja mwenyewe! kwani ulilazimishwa kutumia dalali? na kama huna pesa usilie lie, mwambie kabisa dalali, mwambie mm ukinisaidia nitakulipa kiasi flani sina ya mwezi, basi mnaelewana, wewe unataka umlipeje? Kama huna pesa unasema acha kulia lia!
 
Hawa madalali ni sawa na wapiga debe Wa stendi tu! Hawana manufaa wala ulazima wowote! Serikali iwapige marufuku kama inavyowapiga vita wapiga debe!
Dalali ndo hupata faida kubwa kuliko muuzaji na mnunuzi maana anapiga cha juu pande zote! Anapiga cha juu Kwa muuzaji na mnunuzi halafu halipi kodi wala hatoi risiti!!! Hafai Mara elfu!!!!
 
Yaani Hii Biashara Imeingiliwa Na Matapeli Balaa, Kwa Kweli Serikali Ilione Hili, Kama Ni Udalali Basi Wafungue Taasisi Zinazotambulika Kisheria Na Walipe Kodi Stahiki.
 
Back
Top Bottom