Habari wanajamvi. Naomba wenye taarifa naujuzi kwenye biashara yakununuwa udongo wenye chembe zadhahabu nakuufanyia processing mpaka ipatikane dhahabu . Hii biashara inalipa kiasi gani kama faida? Unaweza kuanza namtaji washillingi ngapi? Process yote mpaka ipatikane dhahabu inachukua mda gani? Soko lakuuziya dhahabu linapatikani raisi? Changamoto zabiashara hii nizipi? Shukurani kwawote watakayechangia
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums