Ni biashara nzuri yenye faida kubwa..
Kupata vibali vyote kwa maramoja ni ishu inayohitaji pesa ndefu.. Hivyo unaweza kuanza na leseni ya biashara kwanza na mtaji wa milion kumi kwa mchanganuo wa
Eneo/godown (Kodi)
Mizani kubwa na ndogo (optional)
Vitendea Kazi (kama panga, spana mitarimbo,gloves, gumboots, overroll nk)
Wafanyakazi (kwa kuanzia wawili)
Vitu vya ku deal navyo
Chuma cchakavu
Chuma dongo
Battery mbovu/cchakavu
Mabaki ya Aluminium nk
Changamoto kubwa
Mizigo ya wizi
Mizigo ya kuchomekewa
Kutapeliwa pesa nk
Bei za sokoni
Chuma chakavu tani Inaenda mpaka 1.1M
Aluminium waste tani moja 5.5M
Maswali zaidi niulize