Biashara ya viwanywaji vya jumla-ushauri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Biashara ya viwanywaji vya jumla-ushauri

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Twilumba, Sep 4, 2011.

 1. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #1
  Sep 4, 2011
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,148
  Likes Received: 874
  Trophy Points: 280
  Wana JF habari za Jumapili!
  Naamini na ntaendelea kuamini kuwa JF ni kisima cha hekima na ushauri na ndio maana naleta kwenu ombi la ushauri juu ya uaanzishaji wa duka la vivywaji vya jumla.

  Kimsingi eneo nilipo linauhitaji wa duka la vinywaji vya jumla, baada ya kugundua hilo nimeona nipate ushauri namna ambavyo naweza kuanzisha duka hilo

  Kwa haraka haraka eneo (Location) kwa ajili ya biashara hiyo ipo na ni centre nzuri tu.

  Mwenye uzoefu namna ambavyo naweza kuanza biashara hiyo, kiasi cha mtaji , vinywaji kipaumblele, namna ambavyo naweza ku-link na depo za makapuni ya vinywaji hasa kwa mkoa wa (Arusha) kwa ajili ya ununuzi na la msingi kabisa upatikaji wa cret kwa ajili ya kuanzia, namna ya ununuzi wa pombe kali yaani gin, grands, wine na jamii zake.

  Kwa mawazo na uwezo wangu nilitaka nianze na cred 100 za beer, 100 za soda, kuhusu vinywaji vikali ntaomba kushauriwa zaidi!

  Nashukuru kwa ushauri ambao utatolewa!!

  Karibuni kwa ushauri.
   
Loading...