Biashara ya Viungo (Spices)

Biashara ya Viungo (Spices)

Jamani Habari Zenu.
Nilikuwa nataka kupanua wigo wa Biashaya ya Viungo(Spices). Nina duka dogo Zanzibar ila nataka niongeze wigo wa biashara.

Kwanza ninamalizia website yetu,ambayo itakuwa na maelezo yote. Natarajia kupost kwenye baadhi ya Local Magazine pia..​
Mkuu habari yako naweza kupata namba zako za simu nataka tuongee biashara nahitaji viungo tofauti kwa bei ya jumpa
 
Jamani Habari Zenu.
Nilikuwa nataka kupanua wigo wa Biashaya ya Viungo(Spices). Nina duka dogo Zanzibar ila nataka niongeze wigo wa biashara.

Kwanza ninamalizia website yetu,ambayo itakuwa na maelezo yote. Natarajia kupost kwenye baadhi ya Local Magazine pia...
Habari...nahitaji kufanya hii biashara...nnaweza kupata mamba zako plz
 
Jamani Habari Zenu.
Nilikuwa nataka kupanua wigo wa Biashaya ya Viungo(Spices). Nina duka dogo Zanzibar ila nataka niongeze wigo wa biashara.

Kwanza ninamalizia website yetu,ambayo itakuwa na maelezo yote. Natarajia kupost kwenye baadhi ya Local Magazine pia.

Nilikuwa nataka Mawazo yenu kwa mikoa ya hapa Tanzania ambayo biashara hizi au viungo hivi vinasoko zuri. Hata kama nchi za Jirani pia sio mbaya maana sina Ideas kwa nje ya Znz

Viungo(Spices) ni kama zifuatazo:-
Cinnamon (Mdalasini)
Cumin (Uzile)
Ginger (Tangawizi)
Black pepper(Pilipili Manga)
Cardamon (Hiliki)
Lemons Grass (Mchaichai)
Cloves (Karafuu)
Vanilla (Vanila)
Nutmeg (Kungu Manga)
Turmeric (Bizari)
Coriander(Giligilani)
Fenugreek (uwatu)
Thyme(zahatari)

Spice Combination(Masala):-
Tea Masala
Fish/Meat Masala

Spices Gift Packs
-Oils Extracts
-Herbal Soaps

Na Je kuna Mikoa ambayo inalimazao lolote hapo juu kwa wingi.Na Idea ya kilo moja ni kiasu gani (Hii itanisaidia kama nitapata order kubwa,kujua wapi pa kuchukua)

Mbarikiwe
Naomba kuwasilisha,​
Hi broo,
Niko na utalaamu wa vanilla, tunalima na kuuza vanilla beans tupo bukoba kagera, pia Dar Es Salaam unaeza Pata mzigo. Vp unaweza kuhitaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na
Jamani Habari Zenu.
Nilikuwa nataka kupanua wigo wa Biashaya ya Viungo(Spices). Nina duka dogo Zanzibar ila nataka niongeze wigo wa biashara.

Kwanza ninamalizia website yetu,ambayo itakuwa na maelezo yote. Natarajia kupost kwenye baadhi ya Local Magazine pia.

Nilikuwa nataka Mawazo yenu kwa mikoa ya hapa Tanzania ambayo biashara hizi au viungo hivi vinasoko zuri. Hata kama nchi za Jirani pia sio mbaya maana sina Ideas kwa nje ya Znz

Viungo(Spices) ni kama zifuatazo:-
Cinnamon (Mdalasini)
Cumin (Uzile)
Ginger (Tangawizi)
Black pepper(Pilipili Manga)
Cardamon (Hiliki)
Lemons Grass (Mchaichai)
Cloves (Karafuu)
Vanilla (Vanila)
Nutmeg (Kungu Manga)
Turmeric (Bizari)
Coriander(Giligilani)
Fenugreek (uwatu)
Thyme(zahatari)

Spice Combination(Masala):-
Tea Masala
Fish/Meat Masala

Spices Gift Packs
-Oils Extracts
-Herbal Soaps

Na Je kuna Mikoa ambayo inalimazao lolote hapo juu kwa wingi.Na Idea ya kilo moja ni kiasu gani (Hii itanisaidia kama nitapata order kubwa,kujua wapi pa kuchukua)

Mbarikiwe
Naomba kuwasilisha,
Mawasiliano yako
 
Natafuta vanilla kavu kiasi chochote, Mwenye nazo anicheki 0679699729
 
Mkuu habari yako naweza kupata namba zako za simu nataka tuongee biashara nahitaji viungo tofauti kwa bei ya jumpa
Kupata viungo vyote ni pm na sources za kutoka shamba kabisa na mzigo wa kuaminika kutoka Morogoro,tanga,zanzibar,kagera,na sehemu nyingine kama unahitaji nicheki huku 0745244902
 
Nauza viungo vya pilau gram 100 kwenye package nzuri
Viungo ni fresh nasaga mwenyewe kabsa ni mchanganyiko wa hiliKi, mdalasini, binzari nyembamba, na giligilan View attachment 908847
Up Kama utahitaji viungo zaidi ni pm au nicheki kwa 0745244902. Tuongee biashara mzigo upo kutoka sources za uhakika kutoka shamba kabisa
 
Habari zenu wana Jf, napenda sana kufanya biashara ya viungo vya chai na vya chakula kama vile iliki, tangawizi, mdarasini nk ila changamoto nilionayo mpaka sana ni kujua ni maeneo gani vinalimwa kwa wingi ili niweze kwenda kufungasha moja kwa moja toka kwa wakulima .

Pia nakaribisha mtu atakae hitaji tushirikiane katika biashara hii.
Weka mawasiliano ndugu
 
Back
Top Bottom