real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,292
wazazi wengi wamenukuu vibaya sera ya elimu bure wakifikiri kua ni bure kila kitu hadi madaftari na kalamu
hii imepelekea biashara ya vifaa hivi kudoda kwa kua wafanyabiashara wengi hununua vifaa hivi kwa wingi msimu huu kwa kua wateja wanakua wengi ila wamekutana na hali tofauti
chanzo
East Africa Television (EATV)