Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 2,884
- 7,918
Hapa nazungumzia utapeli mkubwa mf. kutapeli bandari, migodi na rasilimali nyingine. Naomba mwongozo wenu tafadhali ili nijue chakufanya.
Cc Boss la DP World
Cc Boss la DP World
Inalipa sana, kunasehemu nimewatapeli bandari, wao nimewapa makobazi.Hapa nazungumzia utapeli mkubwa mf. kutapeli bandari, migodi na rasilimali nyingine. Naomba mwongozo wenu tafadhali ili nijue chakufanya.
Cc Boss la DP World
Kadi ninayoUna kadi ya CCM ?
Boss anakuja na majibu bila shaka.Hapa nazungumzia utapeli mkubwa mf. kutapeli bandari, migodi na rasilimali nyingine. Naomba mwongozo wenu tafadhali ili nijue chakufanya.
Cc Boss la DP World
Amesema inalipa.Boss anakuja na majibu bila shaka.
Inawalipa wanamtandao au inamlipa Boss la DpAmesema inalipa.
Boss la DP World amejibu hapo juu kuwa inalipa.Inawalipa wanamtandao au inamlipa Boss la Dp
Hivyo mmeshafikiria kuni pora kadiUna kadi ya CCM ?
Kujihakikishia usalama kuwa mwanamtandaoHapa nazungumzia utapeli mkubwa mf. kutapeli bandari, migodi na rasilimali nyingine. Naomba mwongozo wenu tafadhali ili nijue chakufanya.
Cc Boss la DP World
Okay asante kwa ushauriKujihakikishia usalama kuwa mwanamtandao
Daah kweli huku ndio pesa imelala.Inalipa sana tu,case study ni lugumi ,huyu alianza kama mshona viatu maeneo ya mwanza hotel kisha akajiongeza kwenye utapeli mkubwa mkubwa,sasa hivi anawatapeli mpaka polisi na hawana cha kumfanya,rejea tenda ya kufunga cctv camera vituo vya polisi na tenda ya ununuzi wa sare za polisi amepiga billions za kutosha na bado anadunda😁 shamba la bibi ndio hili sasa😀😀
Aiseee 🤣🤭mjomba nomsInalipa sana, kunasehemu nimewatapeli bandari, wao nimewapa makobazi.