Biashara ya udalali wa magari

Diwani

JF-Expert Member
Oct 25, 2014
2,672
2,697
Usafiri wa magari umeonekana kuwa na tija kwa jiji la Dar. Kukutanisha muuzaji na mnunuzi imekuwa ni biashara inayokuwa kwa kasi.

Nawaomba, wajuvi, mchangie nasi uzoefu, uendeshwaji na changamoto kuhusu biashara hii, karibuni sana.

Ahsante.
 
Kua na smart phone jtahid kua karbu na vijiwe vya madalali wa magari kua smart kua na mtaji walau ml 5 mana kuna wakati mtu anataka kuuza gar yake kwasababu anashida ya haraka anakuachia gari ki halali unampa advance wewe unabaki na gar apo unatafuta mteja uku ukijua ww unapandilia kiasi gan na mwenye gar unammlizia kiasi gani na sio kua dalali mdananda kama ukipata ofis pia inakua poa zaidi usisahau mtaji HUAMINIFU
 
kua na smart phone jtahid kua karbu na vijiwe vya madalali wa magari kua smart kua na mtaji walau ml 5 mana kuna wakati mtu anataka kuuza gar yake kwasababu anashida ya haraka anakuachia gari ki halali unampa advance wewe unabaki na gar apo unatafuta mteja uku ukijua ww unapandilia kiasi gan na mwenye gar unammlizia kiasi gani na sio kua dalali mdananda kama ukipata ofis pia inakua poa zaidi usisahau mtaji HUAMINIFU
Kweli udalali wa sasa hivi ni mtaji pia kama unataka kulenga gari IST ndo zitakutoa haraka.
 
Back
Top Bottom