Abdul kalaam
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 441
- 565
Habari wanajukwaa
Mimi ni muajiriwa sehemu fulani, kutokana na changamoto za kazi nilitamani nijiajiri mwenyewe kupitia biashara ya udereva wa mtandao.
Naombeni ushauri wenu juu ya hii biashara kama inalipa kwa kiasi gani na changamoto za biashara kiujumla.
Asanteni

Umenikumbusha mbal sana kuna rafk yng alitoa pikipiki mkataba wa mwaka na miez miwili pesa akawa analetewa kila siku elfu 10 akawa anakula tu mwaka umeisha anaumia pikipiki haitakuwa tena yake na pesa hana