Toyota Avensis 99 model, manual, nadhani itakuwa imported kutoka UK, sio? Kama ni hivyo... Hiyo gari ni Ngumu sana na Unaweza shughuli zote za taxi, kwani kwa UK ndio inaongoza kwa kuwa Taxi.. na Kuhusu Mileage usiwe na shaka, Engine zinatengenezwa kulast zaidi ya Miaka 30, kwahiyo life span yake bado sana...Cha muhimu Service na marekebisho ya muhim yanapohitajika.. pia uendeshaji uwe wa kistaarabu gari itakaa hata miles laki3...