Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 18,307
- 33,925
Jamaa yangu aliuziwa sungura sita wa mbegu kwa jumla ya shilingi milioni moja na laki nane (1,800,000). Ni kama sungura mmoja ni shilingi laki tatu (300,000).utauziwa mende mmoja wa mbegu 15,000
Jamaa Sungura walipofika 50 ndipo kiswahili toka kwa ile kampuni iliyomuuzia sungura kwa ahadi ya kutafuta soko kilipoanza. Mpaka wanafika 200 hakuna soko na Kampuni ikawa imeshafunga shughuli zake hapa Iringa na kumwachia mzigo wa kuwasiliana na wafugaji wenzake mama mmoja ambaye naye walishamtapeli .Utaingia mkenge ukibahatika kuwakuza changamoto huna pa kuwauza gharama ya matumizi mamillion utakuwa umeangukia pua!
Umenifungua akili kwa kiwango cha hali ya juu kumbe ni utapeli huu, binafsi huwa sikosi vipindi vyako pale Ebony fmJamaa Sungura walipofika 50 ndipo kiswahili toka kwa ile kampuni iliyomuuzia sungura kwa ahadi ya kutafuta soko kilipoanza. Mpaka wanafika 200 hakuna soko na Kampuni ikawa imeshafunga shughuli zake hapa Iringa na kumwachia mama mmoja ambaye naye walimtapeli mzigo wa kuwasiliana na wafugaji wenzake.
Dah....Yaani wameshindwa kusema inasaidia kuongeza CD4 na Nguvu za kiume.?Ni nyama tamu lakini walaji hakuna Tanzania. Labda uwafuge kwa natumizi yako binafsi si kibiashara.
Dhuluma, " Huendi mbinguni " Hili songi liacheni tuuu kuna matapeli wasomi hawaendi mbinguni hakika.Jamaa yangu aliuziwa sungura sita wa mbegu kwa jumla ya shilingi milioni moja na laki nane (1,800,000). Ni kama sungura mmoja ni shilingi laki tatu (300,000).
Ni ujuha kupigwa kirahisi namna hiyo! Hivi utaambiwaje ufuge kitu ambacho hujui soko lake wala hujawahi kusikia soko lake hata siku moja? Mtanzania anaanguka kwa kukosa maarifa na kupenda mteremko.Dhuluma, " Huendi mbinguni " Hili songi liacheni tuuu kuna matapeli wasomi hawaendi mbinguni hakika.
Usitake kujua kama ni ukweli kwa sababu hakuna ukweli kama huo. Duniani hamna vitu vya bure.Hatari sana. Ni mwendo wa kutengeneza fursa.
Kuna jamaa mwingine anasema ununue kuku 100 kwa laki sita, alafu baada ya siku 120 Ela yako utarudishiwa Mara mbili. Sijajua Kama Kuna ukweli hapa.
Da! Nimesikitika. Mbona wabongo mko warahisi sana kudanganyika jamani? Ni elimu, ni upeo wa kufikiri, ni kupenda vya bure au ni nini? Hili la kufuga sungura ukifikiria kidogo wala huwezi kukubali upuuzi kama huu.umenifungua akili kwa kiwango cha hali ya juu kumbe ni utapeli huu,binafsi huwa sikosi vipindi vyako pale ebony fm
Nimefuatilia sana kenya nikapata taarifa sahihi kwasababu wataalamu wetu kila ninapouliza nilikosa majibu yakueleweka. Hapa ni kweli kama unafanya kilimo hai au organic, una N,P na K ya kutosha sana na unaweza kuspray kwenye mmea wenye shida kuua wadudu.
Bongo tambarare ndugu yangu. Watu wanadanganywa kwa vitu vya kutumia logic ndogo tu...macho_mdiliko mbona una hasira sana ndugu yangu!!
Nakumbuka huku kwetu Iringa watu walilimishwa "Paprika" aina fulani hivi ya Pilipili mwisho wa siku hata leo hii ukiwakumbusha wanabaki kucheka tu. Mambo ya kupanda miti ya mlonge yalichukua hela za watu wengi sana.Bongo tambarare ndugu yangu. Watu wanadanganywa kwa vitu vya kutumia logic ndogo tu...