Biashara ya pembe za ng’ombe na ngozi za ng’ombe

Emmanuel32

New Member
Jul 18, 2022
4
0
Ndugu habari za majukumu naomba anaefaham juu ya soko husika la bei za ngozi ya ng’ombe pamoja na pembe zake soko linapatikana wapi lakini pia nahitaji kufahamu kiundani zaidi kuhusu hii biashara
 
Fanya biashara ya kitabu utumbo na ile silaha ya jadi, mchina anaachia pesa ndefu. Utakuja kunishukuru.
 
Kwa mfano ngozi unatoa wapi unataka kuuzia wapi,
Dar es salaam kuna wanunuzi, Morogoro kuna mnunuzi kiwanda cha ngozi pale Kihonda, moshi pia kuna kiwanda pale himo,so kuwa specific.
 
Back
Top Bottom