Biashara ya Oryx Gas | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Biashara ya Oryx Gas

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Parachichi, Jan 8, 2012.

 1. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #1
  Jan 8, 2012
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Wakuu polen na kazi,naulizia b'ness ya Oryx gas inakwendaje?kama kuna mwana Jf anayeifanya anipe maujanja!hivi ukinunua kule depot wanakuletea hadi hapo unapofanyia b'ness au unabeba mwenyewe?na bei ya jumla wanauza kuanzia mitungi mingapi?nawasilisha wakuu.
   
 2. C

  Chemwali JF-Expert Member

  #2
  Mar 18, 2014
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 400
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  ulipata majibu ya reaserch yako unimegee kiduchu na mimi?
   
Loading...