TEMBO WANGU
JF-Expert Member
- Feb 21, 2014
- 929
- 1,276
Habar zenu wakuu,
Naomba wamiliki, wakuu wa vituo na walimu, wajasiliamari na wadau wengine tuweze kubadilishana mawazo kwa namna gani tutaweza kufanikiwa kuendesha hizi day care na nussery kwenda kwenye mafanikio.
Je mbinu gani huwa unatumia kuweza kupata wanafunzi wengi?
Je mbinu gani unatumia kuweza kufanikiwa wanafunzi wako wakawa vizuri kielimu?
Je mbinu gani unatumia kuweza kuwalisha watoto bila ya kupata hasara kwenye matumizi yako?
Je mbinu unatumia kuweza kupata walimu Bora kwenye day care yako?
Je mbinu gani unatumia kwenye masuala ya usafiri kwa wanafunzi kuweza kufanikiwa?
Je kiwango cha mshahara kwa walimu huwa kinaanzia kiasi gani kwenye shule yako?
Je changamoto gani unakutanana nazo kwenye uendeshaji was shule yako?
Je ulianzaje mpaka ukaweza kumiliki day care?
Je mafanikio gani umeyapata kwenye shule yako?
Natumaini maswali hayo yataweza kutusaidia katika mjadala huu. asanteni Sana na karibuni nyote