Biashara ya nguo kwa mtaji wa Tsh. milioni 1

Ndio hulo mkuu shimoni na underground ni sehemu moja tu.....lugha ndo tofauti alafu kule kuna maeneo na majina mfano underground toronto etc ndio maana nikasema utembee tembee ili uangalie kote usiende sehemu moja tu
Basi niliShapatafuta sana huko shimoni kumbe hua nafika bila kujua nipo shimoni
 
Yes mkuu ndio hukohuko sema unakuwa unaulizia sana bei ujue duka gani wanauza kwa bei ya chini zaidi pia ukitembea utajua hukohuko chini kuna vimtaa hv nso kama kule underground ya toronto etc
Basi niliShapatafuta sana huko shimoni kumbe hua nafika bila kujua nipo shimoni
 
Kush nikuambie kitu, watu hutofautiana

Kuna akija sisi Karucee ni headache tangu wadogo.... Darasani ni noisemakers tangu nursery school.

Ila kuna wengine who are comfortable in their solitude. Hawajichanganyi not because hawataki but it's because of their nature.

Some are shy, some just can't interact with others.

So please tumuelewe. And sometimes it is better to just read and mute rather than offend people or insult them.

If you can assist her please do... It you can send her a link, go ahead. The good you do will come back to you in one way or the other.
Very wise comment and it seems you know very well about psychology.
You have touched me because sometimes people accuse me because of being quite especially in whatsapp groups and they think I am too much proud,discrimination but it is quite different

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Very wise comment and it seems you know very well about psychology.
You have touched me because sometimes people accuse me because of being quite especially in whatsapp groups and they think I am too much proud,discrimination but it is quite different

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
Ndo maana ukajiita mbu wa dengue.

Uongo?
 
Ndo maana ukajiita mbu wa dengue.

Uongo?
Hapana mkuu hilo jina halina uhusiano wowote,wakati huo najiunga Jf habar ya mbu wa dengu ndio ilikuwa inatrend nikalichagua hilo jina yaani ni sawasawa sasa hivi mtu ajiite covid 19 au vaccination.
 
Nilichosahau kwenye brouse na masweta kuna sehemu za kuangalia ukiidaka tu, angalia sana kwapani kusiwe kumepauka, angalia shingoni, angalia mikononi kusiwe kumelegea sana pia angalia upindo wa chini upoje

Kwenye skin jeans angalia kiunoni isiwe na kiuno kikuubwa, angalia kwenye msamba kusiwe na msamba mkubwa au uliochakaa, angalia zipu vizuri na angalia chini upindo usiwe umetanuka sana pia isiwe imepauka alafu pia angalia size ya skin zako kuna skin za kuvaliwa na watoto wa secondary, kuna skin za kuvaliwa na chuo ma wadada wakubwa wewe achana na wanafunzi nunua za wanachuo size inaluwa kubwa kiasi na somehow wanavaliana na wadada wakubwa......

alafu angaliaga na rangi isiwe imepauka kwenye skin

Kwenye vipochi kwanza kagua ndani vile vitambaa huwa vimeisha vingine hadi uzuri unapotea, angalia zipu vizuri, angalia mikanda ipo vozuri na angalia chini ya vipochi hata mabegi kama hakujapauka sana ndio ulipie

Pia jua rangi za nguo na rangi za mabegi na vipochi zinazopendwa na wadada.....rngi za nguo zisiwe uniue sana kama purple iwe general tu black, white kiasi, red yellow amd blue ziwe chache ukizunguka sana sio rahisi kukuta mrembo amependeza amevaa yellow japo wapo kwenye vishifon blouse sio mbaya

angalia zile mguo zenye rangi nyingi wewe chukua zinaoendwa sana hata kwa wanaume tshirt zenye rangi nyingi za kuchukua zinauza sana....
duuu mzee ubalikiwe sana
 
Uzi mzuri Sana
Aliyeleta mada vipi mrejesho kea sasa.
Na je, utajaribu wa kuanzisha goli ikoje nikimaanisha kwa serikali ( TRA)
 
IMG-20220812-WA0008.jpg
 
Mkuu nimeshaanza biashara maeneo ya mbagala ila nimekutana na hali halisi ya mbagala..wateja wanataka chupi za buku na hawaangalii quality..na pia wanapenda chupi za mtumba..mimi nimekuja na chupi chambuu mana ndio zinafaida..lonya ya kuuza buku faida yake ni 3000 mpaka 2000 per dozen wakati chambuu ya 15000 inaweza kukupa 9000 mpaka 15000 kama faida kwa dozen moja.. sasa nikikaa golini kwa siku mauzo yanakuja 30000 mpaka 50000 per day wakati nikitembeza per day napata 90000 mpaka 120000 per day.. sasa shida ni jinsi ntakavyoweza kuongeza mauzo pale goloni..naomba mbinu

View attachment 1822855

View attachment 1822856

View attachment 1822857

View attachment 1822858

View attachment 1822859

View attachment 1822860

View attachment 1822861

View attachment 1822862

View attachment 1822863

View attachment 1822864

View attachment 1822865

View attachment 1822866

View attachment 1822867

View attachment 1822868

View attachment 1822869

View attachment 1822870

View attachment 1822871

View attachment 1822872

View attachment 1822873

View attachment 1822874

View attachment 1822875

View attachment 1822876

View attachment 1822877

View attachment 1822878

View attachment 1822879

View attachment 1822880

View attachment 1822881

View attachment 1822882

View attachment 1822883

View attachment 1822884
napenda kuuza chupi asante umenipa moyo sana
 
balo kwa unaeanza ni risky sana, unaweza pata nguo nzuri ajabu au mbaya ajabu.....

Kuna utaalamu wa kujua belo zuri nabaya kidogo unasaidia japo sio sana (wao wanaangalia sticker zile zinarangi gani, maneno etc)

Kama unataka nunua belo tafuta mtu mzoefu sana na ambaye unajua na umeona ananguo nzuri mara nyingi, mpe pesa kidogo ya chai na mpe pesa akakuchukulie anakochukuaga

Ila kama unaanza na huna huo msaada nenda ilala boma na Karume kapoint nguo kali chache upate loyal customers kwanza na pesa ya haraka ije
shukuran
 
Mkuu najua biashara inalipa na siwezi kuajiriwa sikuzote ila nakusanya nguvu kiuchumi na kuendelea kujifunza ili nifanye kitu kizuri zaidi
Za muda, una ujuzi nina mtaji,
Tuunge nguvu tupambane pamoja. Ikiwezekana kuchana Mabalo.,
 
Mkuu nimeshaanza biashara maeneo ya mbagala ila nimekutana na hali halisi ya mbagala..wateja wanataka chupi za buku na hawaangalii quality..na pia wanapenda chupi za mtumba..mimi nimekuja na chupi chambuu mana ndio zinafaida..lonya ya kuuza buku faida yake ni 3000 mpaka 2000 per dozen wakati chambuu ya 15000 inaweza kukupa 9000 mpaka 15000 kama faida kwa dozen moja.. sasa nikikaa golini kwa siku mauzo yanakuja 30000 mpaka 50000 per day wakati nikitembeza per day napata 90000 mpaka 120000 per day.. sasa shida ni jinsi ntakavyoweza kuongeza mauzo pale goloni..naomba mbinu

View attachment 1822855

View attachment 1822856

View attachment 1822857

View attachment 1822858

View attachment 1822859

View attachment 1822860

View attachment 1822861

View attachment 1822862

View attachment 1822863

View attachment 1822864

View attachment 1822865

View attachment 1822866

View attachment 1822867

View attachment 1822868

View attachment 1822869

View attachment 1822870

View attachment 1822871

View attachment 1822872

View attachment 1822873

View attachment 1822874

View attachment 1822875

View attachment 1822876

View attachment 1822877

View attachment 1822878

View attachment 1822879

View attachment 1822880

View attachment 1822881

View attachment 1822882

View attachment 1822883

View attachment 1822884
Hii ndio JF sasa.
Hongera
 
m nakushauri ruka mkoan tembea na minada au hapa apa kila day kuna minada unaamba ambaa nayo
 
Back
Top Bottom