Naiamini sana Jf bado nina matumaini inawezekana wewe ama yoyote aliye na ufahamu wa hii biashara atatushauri ......
JiweFool impact.Kwa wakati huu soko la ngozi ni mbaya mno, ila kabla ya octoba 2015 biashara hii ikikua na faida zaidi ya asilimia 60 ya mtaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawezi fungua wakati hana huo ujuzi au mtajimwanangu, fungua kiwanda hapa bongo cha leather tanning, tengeneza viatu, mikoba and the like.. and export finished goods only.
bonge la business idea.
Hivi Bata bado wako sokoni?