uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 12,006
- 28,501
Mi si hamasishi tabia mbaya ya uzinzi naikemea pia ila nadhani swala la mtu kuwa mzima au kupata maradhi ya ukimwi wakati mwingine haitegemei ni kiasi gani umejilinda au kiasi gani umekuwa na mahusiano mazuri au mabaya hebu fikiria maisha na namna tunavyokkutana na wapenzi wetu kazini chuoni mtaani ulipohamia kwenye biashara na kwenye nyumba za ibada na huwa tuna taarifa chache sana kuhusu hao watu na wengine tumewachukua huku siku ya kwanza akikwambia nina mtu au nimewahi kuwa na mtu na maneno mengi utaenda kupima nae kama mtabahatika hata kuwaza hayo baada ya hapo wote ni mashahidi baadhi ya watu wameendelea kuwa wasaliti kwa wenzi wao sana kwangu mimi nadhani kuwa salama ni neema ya Mungu zaidi kuliko juhudi zetu.
Umewahi kuwaza saluni.
Ajali za mabasi.
Bahati mbaya katika kutoa huduma nyumbani au maeneo mengine"ni huruma za Mungu kwamba hatuangamii "mwisho sikubaliani na kauli ya Rais.
Umewahi kuwaza saluni.
Ajali za mabasi.
Bahati mbaya katika kutoa huduma nyumbani au maeneo mengine"ni huruma za Mungu kwamba hatuangamii "mwisho sikubaliani na kauli ya Rais.