Biashara ya mpunga

Habari wapendwa nina Mpango wa kufanya biashara ya mpunga Yan kununua na kuweka stock naomba msaada yoyote anaefaham tafadhal
Hiyo biashara kwa mgeni itakusumbua sana, kwani kununua mpunga kuna hitaji uzoefu wa kujua kilichomo ndani(mchele) ni mzuri?lasivyo utajikuta umenunua biliani tupu, ikawa bonge la hasara, kama utakuwa na mzoefu sawa!!kingine miaka ya siku hizi kununua mpunga na kuutunza store, haina tija kabisa, mfano unaununua kwa tsh.30, 000 wakati wa mavuno, unaweza ukauweka hata mwaka mzima ukakuta umepanda sana ni 45, 000!!!bado kuna gharama za store humo!!bora biashara ya mchele.
 
Sawa Sawa nishawah kuifanya 2019-2020 tatzo lilikuwa n price kushuka baada ya mipaka kufungwa hasa Kenya kipnd cha covid 19 ila namshukulu MUNGU angalau mtaj ulilud
So this tym wish kufanya tena
 
Hii bishara nimeifatilia kwa muda mrefu nina mtu wa kuniongoza mm nimeshakubaliana nae a nitanunua mpunga gunia 500 from iringa sabab yeye analimia iringa na nimeona anamendeleo makubwa tu toka kaanza kulima na kununua mazao nimeshuhudia aliwanunulia matajiri mpunga hadi wa milion 50 na kuwahifadhia mashineni lisha wao kwenda kukagua so nikahamasika ninaanza now ila nimejikadiria kuizungusha hii pesa kwa miaka 3-5 bila kuipunguza kwa mahesabu yangu na uzoefu niuonao nitakapo fikisha mtaji gunia 2000 basi ndo nitaanza kutoboa sabab faida itakua si chini ya mil 40-60 kwa mwaka.kiuzoefu mimi ni mkulima pia nimelima mpunga pia ila nimeacha na kuingia ktk kununua kutokana na usimamizi wakat wa kulima sina so nimeona kununua hakutochukua muda wangu mwingi.
Plani kubwa ni 2.
1.kuuza kama mpunga
2.kufungua store dar na kuukoboa kidogo kidogo na kuuza kama mchele dar.

Hadi sasa nimesimamia ktk plan 1 bado nafikiria kufungua store dar.
Habari wapendwa nina Mpango wa kufanya biashara ya mpunga Yan kununua na kuweka stock naomba msaada yoyote anaefaham tafadhal
 
Hii biashara ipo hivi ambatana na mtu anaefaham mpunga vizuri.akuchagulie mpunga mzuri au akupointie kwa wale waliolima kwa mbegu bora maana mbegu za mpunga zinamajina mengi tofauti.
Then utauhifadhi mashineni au store hadi hapo utapochukua mzigo wako ila utalipia elf 2000 kwa kila gunia la mpunga pia shart lingine ni utakoborea/kumenya hapo hapo ili wapate hiyo pesa yako.gharama ni kama 5000
1.gunia 1000
2.kupakia na kubeba 2000
3.mashinen/store 2000

Sijui mkoani kwako ila mikoa mingi ni hivi

Sijapigia kamba sabab mimi anaeninunulia aliniambia niachane na kamba atanipa.

Nb.
Bei inaweza zidi kidogo kwa mkoa husika

Ngoja tupeane uzoefu kidogo.
2015 - 2017 niliwahi kujihusisha na kilimo cha Mpunga huko Mkoani Morogoro, Wilaya ya Mlimba, Kijiji cha Ngalimila na kupata kuishuhudia biashara hii pasipo kusikia.

Mahitaji
1. Viroba

2. Ndoo za kupimia mpunga

3. Mahali pa kuhifadhia mpunga (godown)

4. Vibarua wa kukununulia mpunga wenye utaalam wa kutosha kuweza kung’amua mpunga mzuri.

5. Mahali pa kuhifadhia mpunga (sehemu unayokusanyia mpunga)

6. Usafiri kusafirisha mpunga kupeleka godown

7. Vituo vya kukusanyia mpunga. Lazima uwe na kituo zaidi ya kimoja kuongeza nafasi ya kukusanya mzigo kwa wakati na kupunguza ushindani kwa wenzako wanaofanya biashara hiyo.

8. Fedha za kuwalipa wanunuzi kwa kila kituo ulichoweka.

Changamoto
1. Kupata mtu muaminifu wa kusimamia upatikanaji wa vijana wa kufanya kazi hiyo kwa idadi ya vituo utakavyoweka kukusanya mpunga.

2. Uaminifu wa wanaokununulia mpunga kukataa mpunga usio mzuri (Mind u that utawalipa kwa idadi ya gunia wanazokusanya so mwingine anaweza asiwe muaminifu ili apate malipo mazuri)

Ushauri
Vema kwenda mashine kusubiri wakulima wanaokuja kukoboa mpunga wao na kupatana nao bei na kukuuzia mchele, still bei yao ipo chini na gharama zitatofautiana kidogo sana na za wewe kwenda huko vijijini kukusanya mpunga.

Huko vijijini unaweza kusumbuka zaidi na mchakato mzima na mwisho wa siku ukapigwa na kitu kizito kichwani ukajikuta umenunua mpunga halafu ukikoboa unakutana na chenga kumbe mpunga ulikauka sana shambani.
 
Hii bishara nimeifatilia kwa muda mrefu nina mtu wa kuniongoza mm nimeshakubaliana nae a nitanunua mpunga gunia 500 from iringa sabab yeye analimia iringa na nimeona anamendeleo makubwa tu toka kaanza kulima na kununua mazao nimeshuhudia aliwanunulia matajiri mpunga hadi wa milion 50 na kuwahifadhia mashineni lisha wao kwenda kukagua so nikahamasika ninaanza now ila nimejikadiria kuizungusha hii pesa kwa miaka 3-5 bila kuipunguza kwa mahesabu yangu na uzoefu niuonao nitakapo fikisha mtaji gunia 2000 basi ndo nitaanza kutoboa sabab faida itakua si chini ya mil 40-60 kwa mwaka.kiuzoefu mimi ni mkulima pia nimelima mpunga pia ila nimeacha na kuingia ktk kununua kutokana na usimamizi wakat wa kulima sina so nimeona kununua hakutochukua muda wangu mwingi.
Plani kubwa ni 2.
1.kuuza kama mpunga
2.kufungua store dar na kuukoboa kidogo kidogo na kuuza kama mchele dar.

Hadi sasa nimesimamia ktk plan 1 bado nafikiria kufungua store dar.

Nduguu umeniongezea kitu kikubwa sanaaaa sanaaa
 
Umegusa kila sehem ambapo kwa research Yng nmeona hiivi vitu I think nikutafute kwa mawasiliano ndugu
 
Ngoja tupeane uzoefu kidogo.
2015 - 2017 niliwahi kujihusisha na kilimo cha Mpunga huko Mkoani Morogoro, Wilaya ya Mlimba, Kijiji cha Ngalimila na kupata kuishuhudia biashara hii pasipo kusikia.

Mahitaji
1. Viroba

2. Ndoo za kupimia mpunga

3. Mahali pa kuhifadhia mpunga (godown)

4. Vibarua wa kukununulia mpunga wenye utaalam wa kutosha kuweza kung’amua mpunga mzuri.

5. Mahali pa kuhifadhia mpunga (sehemu unayokusanyia mpunga)

6. Usafiri kusafirisha mpunga kupeleka godown

7. Vituo vya kukusanyia mpunga. Lazima uwe na kituo zaidi ya kimoja kuongeza nafasi ya kukusanya mzigo kwa wakati na kupunguza ushindani kwa wenzako wanaofanya biashara hiyo.

8. Fedha za kuwalipa wanunuzi kwa kila kituo ulichoweka.

Changamoto
1. Kupata mtu muaminifu wa kusimamia upatikanaji wa vijana wa kufanya kazi hiyo kwa idadi ya vituo utakavyoweka kukusanya mpunga.

2. Uaminifu wa wanaokununulia mpunga kukataa mpunga usio mzuri (Mind u that utawalipa kwa idadi ya gunia wanazokusanya so mwingine anaweza asiwe muaminifu ili apate malipo mazuri)

Ushauri
Vema kwenda mashine kusubiri wakulima wanaokuja kukoboa mpunga wao na kupatana nao bei na kukuuzia mchele, still bei yao ipo chini na gharama zitatofautiana kidogo sana na za wewe kwenda huko vijijini kukusanya mpunga.

Huko vijijini unaweza kusumbuka zaidi na mchakato mzima na mwisho wa siku ukapigwa na kitu kizito kichwani ukajikuta umenunua mpunga halafu ukikoboa unakutana na chenga kumbe mpunga ulikauka sana shambani.

Ooh oky shukran san nmekuelewa Vzr
Nina mtu monja ambae tayal ana experience kdg

Na kwa hii awamu nitaambatana nae kwenda Shamba

Bt nmepata wazo la kununua mchele km ulivyo shaul

And for natak niende mwenyewe il nijifunze zaid kupitia huyu mwongozo Wang ...

Bt baada ya kuifanya kipnd hicho ilikuletea tija yoyote ndugu ??
 
Hii bishara nimeifatilia kwa muda mrefu nina mtu wa kuniongoza mm nimeshakubaliana nae a nitanunua mpunga gunia 500 from iringa sabab yeye analimia iringa na nimeona anamendeleo makubwa tu toka kaanza kulima na kununua mazao nimeshuhudia aliwanunulia matajiri mpunga hadi wa milion 50 na kuwahifadhia mashineni lisha wao kwenda kukagua so nikahamasika ninaanza now ila nimejikadiria kuizungusha hii pesa kwa miaka 3-5 bila kuipunguza kwa mahesabu yangu na uzoefu niuonao nitakapo fikisha mtaji gunia 2000 basi ndo nitaanza kutoboa sabab faida itakua si chini ya mil 40-60 kwa mwaka.kiuzoefu mimi ni mkulima pia nimelima mpunga pia ila nimeacha na kuingia ktk kununua kutokana na usimamizi wakat wa kulima sina so nimeona kununua hakutochukua muda wangu mwingi.
Plani kubwa ni 2.
1.kuuza kama mpunga
2.kufungua store dar na kuukoboa kidogo kidogo na kuuza kama mchele dar.

Hadi sasa nimesimamia ktk plan 1 bado nafikiria kufungua store dar.

Mkuu hii Biashara unaijua, Nimebahatika kuwa karibu na mtu anayefanya hii bisahra hakuna tofauti na ulichosema.
 
N kwel kakaaa nahitaj kwa upande wa Morogoro ndugu
Mkuu Morogoro sehem gani maana Mimi wiki ijayo naenda kuvuna mpunga wangu mlimba wewe sehem gani pengne tukawa pamoja maana na Mimi pamoja Na kwenda kuvuna lkn naenda kukusanya mpunga anaweka godown nitatoa December Bei ikichanganya
 
N mwez wa 6 kat kat kuanzia trh 10 ila cjajua n wap coz nina mtu naenda nae
Wait ntamulza then ntakujbu sehem gan kaka
 
Ooh oky shukran san nmekuelewa Vzr
Nina mtu monja ambae tayal ana experience kdg

Na kwa hii awamu nitaambatana nae kwenda Shamba

Bt nmepata wazo la kununua mchele km ulivyo shaul

And for natak niende mwenyewe il nijifunze zaid kupitia huyu mwongozo Wang ...

Bt baada ya kuifanya kipnd hicho ilikuletea tija yoyote ndugu ??

Mimi sikwenda kama mfanya biashara bali kama mkulima. Ila kwa uzoefu wa biashara hizi za mazao tija imapatikana kama utaweza kuzuia kuuza mazao hadi msimu utakapoisha na bei kuanza kusogea.

Hata kama utanunua mchele ni hivyo hivyo usubiri kwa muda bei isogeee au uwe na sehemu yako ya kuuzia mjini uuze reja reja hapo tija itapatikana.

Au kwa ku-chit. Uupake mafuta kwanza kuuongezea muonekano zaidi na kuuza bei juu. Mfano hii michele inayouzwa kilo 2000 - 2500 wanaita supa au kitu cha Mbeya si kweli yote ni ya Mbeya mingine ni ya Morogoro na Tunduru wanachofanya ni kugrade kisha kuipaka mafuta.
 
Oky nmekuapata Vzr san Ndug
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom