Kamari ni sawa na bangi au pombe
Upo sawa kabisa na ubaya wa hii tofaut na madawa ya kulevya ni kwamba hii haina sober house.. Ni addictve kama ukiconcentrate on t....Kamari ni sawa na bangi au pombe
Mkeka 2 na bonus imelostKama nlivyosema..
Mtaji ni buk 20
Na leo ndo tunaanza
Usicheze hela yote ya mtaji
Tutaanza kucheza nusu na odd zitatofautiana kutokana na kampuni unayochezea
Mkeka 1
Tutacheza tsh 4500
..austria 28+
..guangzhou i1-2
..chile win
..portugal i1-2
Mkeka 2
Tutacheza tsh 5000
..argentina i1-2
..portugal win
..guangzhou win
..joinville 28+
Mkeka wa bonus
Tutacheza tsh 500
..aswan i1-2
..crb 1-2
..home utd win
..tampines i1-2
..altyn asyr win
..angola i1-2
..crucero del norte i0-1
End
Summary: used tsh 10,000
On hand 10,000
Tunasubir result kesho tunaendelea...
Since tulibak na tsh 10,000 + winning 34,000Mkeka 2 na bonus imelost
Mkeka 1 umewin
Odd kwa meridian ilikuwa total ya 7.62
So kwa 4500tsh
Win tsh 34,290
sio kamari hii ni kubetKamari ni miongoni mwa kazi chafu za Shaytwaan na yampasa Muislamu kujiepusha nayo. Hii ni kwa mujibu wa Qawl ya Allaah (Subhaanahu wa Ta’ala):
{{Enyi mlioamini! Bila shaka ulevi, kamari, kuabudu masanamu na kupiga ramli, ni uchafu katika kazi ya Shaytwaan. Basi jiepusheni navyo ili mpate kufanikiwa}} [Al-Maaidah: 90].
sio kamari hii ni kubet
Upo sawa..Kamari ni miongoni mwa kazi chafu za Shaytwaan na yampasa Muislamu kujiepusha nayo. Hii ni kwa mujibu wa Qawl ya Allaah (Subhaanahu wa Ta’ala):
{{Enyi mlioamini! Bila shaka ulevi, kamari, kuabudu masanamu na kupiga ramli, ni uchafu katika kazi ya Shaytwaan. Basi jiepusheni navyo ili mpate kufanikiwa}} [Al-Maaidah: 90].
shosti hatakwetu kamari ni dhambi kabisa na haipaswi kufanywa na watu wa Mungu woteKamari ni miongoni mwa kazi chafu za Shaytwaan na yampasa Muislamu kujiepusha nayo. Hii ni kwa mujibu wa Qawl ya Allaah (Subhaanahu wa Ta’ala):
{{Enyi mlioamini! Bila shaka ulevi, kamari, kuabudu masanamu na kupiga ramli, ni uchafu katika kazi ya Shaytwaan. Basi jiepusheni navyo ili mpate kufanikiwa}} [Al-Maaidah: 90].