Biashara ya miili Iringa noma

nchi haipo salama kujiuza kunaanzia maofisini;ukishaingilia utatuzi wa kero za mpenzi wako tayari umeshanunua;wanaume hawapendi utegemezi wa mizinga ya kila siku.makahaba wataendelea kujiuza.
 
Wakihalalisha utamruhusu mkeo akachukue leseni?
 
Mkuu hii umeiweka kama tangazo kabisa. Yaani mie nikiamka na mtingo wangu sasa najua wapi pa kwenda. Wala gesti sitafuti kwani ushanitaarifu niende wapi.
matangazo ya biashara hapa jf hatulipii mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…