Biashara ya mchanga wa madini (Gold Dust) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Biashara ya mchanga wa madini (Gold Dust)

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Zamazamani, Oct 12, 2011.

 1. Z

  Zamazamani JF-Expert Member

  #1
  Oct 12, 2011
  Joined: Jun 13, 2008
  Messages: 1,624
  Likes Received: 339
  Trophy Points: 180
  Wajameni
  Nimetonywa kuwa biashara ya mchanga wa kwenye machimbo ya madini inalipa kiasi fulani na ni halali....nimeanza kujenga interest baada ya kupewa some hints lakini nahitaji kujuzwa zaidi juu ya ukweli ulivyo kabla ya kuchukua uamuzi zaidi.Naomba kama kuna anaye fahamu anisaidie please kwa kuwa nataka kuinvest time and money kwenye hili...
   
 2. d

  dotto JF-Expert Member

  #2
  Oct 12, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  usichokoze presha ya moyo wako. nakuonya. Pata potea.
   
 3. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Nakushauri uachane na biashara za madini kama mtaji ni wa kubangaiza, huko ni sehemu ambako utapeli ndo umejaa! Kuna jamaa mmoja namfahamu kafunga kiwanda chake cha kutengeneza tofali baada ya kuuziwa shehena ya mchanga feki uliodaiwa kuwa na almasi kwa Tshs. 30,000,000

   
Loading...