Biashara ya maua hapa dar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Biashara ya maua hapa dar

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Raia Fulani, Sep 23, 2009.

 1. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #1
  Sep 23, 2009
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Wadau naomba kuuliza. Hapa dar kuna kampuni au mtu binafsi anafanya biashara ya kusafirisha maua nje ya nchi? Yaani florist. Au kuna biashara ya kusafirisha vipepeo hapa dar? Mawazo yenu ni muhimu kwangu
   
 2. Kyakya

  Kyakya JF-Expert Member

  #2
  Sep 23, 2009
  Joined: Apr 24, 2009
  Messages: 397
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Unataka kujua namna ya kusafirisha au unataka kufahamu wanaosafirisha?
   
 3. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #3
  Sep 23, 2009
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  nahitaji kuwafaham wanaosafirisha. Nina kautafiti kadogo nakafanya, so itanisaidia sana
   
 4. m

  majogajo JF-Expert Member

  #4
  Apr 5, 2012
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 321
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  zipi arusha.
   
Loading...