Iyo mashine ni changamoto kidogo inahitaji lailon zake sio hizi za mtaani halafu pili kwenye ishu ya matunda tumia lailon zile kubwa zinazofiti kabisa.
Iyo mashine ni changamoto kidogo inahitaji lailon zake sio hizi za mtaani halafu pili kwenye ishu ya matunda tumia lailon zile kubwa zinazofiti kabisa.
Mkuu target yangu ni matunda kama malimau kwa sababu nimeona kuna soko kubwa kwa matunda haya kwa ku supply katika mahotel. Kuhusu bei naamini haitopanda sana kwani nitakua natoa shambani kwangu na ku supply hata super market