Biashara ya Marumaru (Tiles) mkoani Dodoma

Biashara ya Marumaru (Tiles) mkoani Dodoma

Non stop

Senior Member
Joined
Nov 29, 2011
Posts
117
Reaction score
46
Heshima mbele wanajamvi.
Nina mtaji wa shilingi milioni 10 za kitanzania, nipo Dodoma mjini nafikiria kufungua duka la kuuza marumaru (tiles) na gypsum board. Naombeni ushauri wenu kwa mlio na uzoefu wa biashara hii, je kwa mtaji huo inawezekana kupata mzigo wa kutosha?
Na je upatikanaji wa bidhaa hiyo kutoka kwa agents kuleta Dodoma upoje? Ni marumaru za aina gani na kutoka nchi gani zinatoka zaidi?
Asanteni.
 
Back
Top Bottom