Double Elephants
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 522
- 465
Tafadhali ninahitaji makaa ya mawe kutoka Mbeya kwaajili ya Plant yangu huko Dodoma. Vigezo na masharti vitazingatiwa kwa yeyote atakayesaidia upatikanaji wa malighafi hiyo.
Kiasi gani na supply ni ya muda gani??Tafadhali ninahitaji makaa ya mawe kutoka Mbeya kwaajili ya Plant yangu huko Dodoma. Vigezo na masharti vitazingatiwa kwa yeyote atakayesaidia upatikanaji wa malighafi hiyo.