Biashara ya maji Dodoma

Biashara ya maji Dodoma

Bongo Trust

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2017
Posts
253
Reaction score
249
1617953157888.png
Jamani mimi ni mkazi mpya wa jiji la Dodoma, nilipata wazo la kufungua biashara ya kuuza maji ya bomba, (yaani nitengeneze system ya kuyakusanya kisha niwauzie watu watakaokuwa wanakuja kuchota eneo husika)

Naomba wenyeji na wazoefu wa issues hio mniambie mchanganuo wake unakaaje/at least niwe na shilingi ngapi ili nianzishe.

Asante
 
Dodoma ipi mzee upo Manispaa, Chemba Kondoa Bahi au Mpwampwa ukinijibu na kama una kibunda cha kutosha niambie sehemu ukachote pesa kama maji mkuu.
 
Dodoma ipi mzee upo Manispaa, Chemba Kondoa Bahi au Mpwampwa ukinijibu na kama una kibunda cha kutosha niambie sehemu ukachote pesa kama maji mkuu.
wapi huko ambako pesa inamwagika kama maji mkuu ?
 
Nenda Nala fanya survey, kuna shda sana ya maji.
Wapo wanapiga sana ela kwa kuuza maji
 
wapi huko ambako pesa inamwagika kama maji mkuu ?
Usumuamini huyo mkuu, yeye mwenyewe anazitamani pesa balaa. Mtoa mada akienda kichwa kichwa lazima aliwe
 
Back
Top Bottom