Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,590
- 6,957
watu wa visiwani ukiwaambia waarabu huko nje wanatutesea ndugu zetu hawaeli kabisa atakubishia hadi asubuhi.
Mnawachukia bila sababu waarabu,,,na mtaendelea kuteseka na na kujipa msongo wa mawazo
Ndo hapo waliponunua werevu wako
Wazungu wanasema yesu mzungu
Waarabu wanasema mtume muarabu!!
Yote hi n kuwafanya waafrica wawe inferior kwao
Hata Iran wanaamin mtume lakin wanawaadabisha waarabu kwasabab wanawajua walivomakatili
Sent using Jamii Forums mobile app
Endelea kuteseka badala yakupambana na corona,,,miafrika bana,,2nasafari ndefu