Biashara ya machungwa

Biashara ya machungwa

Kwa bei ya sasa hivi ya chungwa shambani huko bukoba si watauziwa 500 sasa chungwa moja
 
Machungwa msimu wake huwa ni upi?
Misimu ni miwili kuanzia mwezi wa tatu mpaka wa sita aina nyingi za machungwa hulimwa msimu huu,msimu wa pili ni mwezi wa saba mpaka wa 11 na 12 mwanzoni aina ya chungwa ni valencia ambayo hupatikana zaidi Muheza
 
Back
Top Bottom