Biashara ya kuuza vyombo vya majumbani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Biashara ya kuuza vyombo vya majumbani

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Rich Dad, Mar 11, 2012.

 1. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #1
  Mar 11, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 742
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Wadau wenye kujua biashara hii naomba watujuze undani wake, naona inawatoa watu wengi.
  Kuna vitu vya lazima vinunuliwe mf. Glass, vikombe, vijiko, sahani, masufuria, mabeseni, ndoo, majagi n.k

  Naomba kufahamu yafuatayo:
  Je mtaji wake ni kiasi gani?
  vitu vinavyotoka sana ni vp?
  Vitu gani vya kuzingatia ili uifanye biashara hii kwa ukamilifu?
  Asanteni
   
Loading...