suleyman100
Member
- Jan 19, 2013
- 43
- 7
Wakuu, nina mpango wa kuuza nyama ya ng'ombe ya Tanzania nje ya nchi. Kwa anayefahamu naomba anielekeze ni namna gani naweza kuanza hii biashara.
Natanguliza shukrani zangu.
Natanguliza shukrani zangu.
Mkuu nipe hii connection ya kupeleka nyama ZanzibarKwanini uanze nchi za nje wakati hapo Zanzibar tu kuna uhitaji wa nyama ya ngombe.
Nataka kupeleka Uarabuni mkuu.Nchi gani?
Wakuu, nina mpango wa kuuza nyama ya ng'ombe ya Tanzania nje ya nchi. Kwa anayefahamu naomba anielekeze ni namna gani naweza kuanza hii biashara.
Natanguliza shukrani zangu.
Wapi huko ng'ombe bado wanaswagwa?Ubora ndo muhimu, hizi Ng'ombr zetu zinazo swagwa kutoka Morogoro hadi Iringa au kutoka Mwanza hadi Arusha hazina quality ya Ku export mkuu
Una uhakika na hili? Unatakiwa utoe sababu za kueleweka. Na vigezo vinatofautiana kulingana na nchi.Ubora ndo muhimu, hizi Ng'ombr zetu zinazo swagwa kutoka Morogoro hadi Iringa au kutoka Mwanza hadi Arusha hazina quality ya Ku export mkuu
Nenda kwenye abbator ya dodoma au kama kuna mtu unafahamiana naye akupe mwongozo. Wanachinja mbuzi na kondoo kupeleka uarabuni.Nataka kupeleka Uarabuni mkuu.
Mkuu naweza kupata contacts zako tuwasiliane?Mkuu nipe hii connection ya kupeleka nyama Zanzibar
Una uhakika na hili? Unatakiwa utoe sababu za kueleweka. Na vigezo vinatofautiana kulingana na nchi.
Mkuu ubora wanao sana tatizo ni ubora kwa maana ya kiafya zaidi, nchi nyingi za ulaya wanakua na complication sana kuanzia namna mfugo unavyofugwa kiafya hadi kuchinja na packing.Acha ubishi, Ng'ombe wa Tanzania wengi hawana quality ya ku export,Kwa sababu tunalishana sisi unazania ndo unaweza export? shida mnakuwa wabishi na hakuna mancho jua zaidi ya ubishi
Sijabisha juu ya ubora, nilichopinga ni sababu aliyotoa. Nafahamu ninachokizu gumza. Unajua vigezo vya kupeleka nyama nchi za umoja wa ulaya?Acha ubishi, Ng'ombe wa Tanzania wengi hawana quality ya ku export,Kwa sababu tunalishana sisi unazania ndo unaweza export? shida mnakuwa wabishi na hakuna mancho jua zaidi ya ubishi
Nicheki DM bossMkuu naweza kupata contacts zako tuwasiliane?