Biashara ya kuuza na kununua unga majani ya Mlonge

Biashara ya kuuza na kununua unga majani ya Mlonge

Wakuu salaam,
Naomba kuuliza kwa mbeya wapi naweza kupata huu mti wa mlonge?
Baada ya kusoma kuona unatibu magonjwa mengi sana nataka nipate mizizi, majani yake na mbegu lkn niupande kwangu pia.
Shukurani sana
 
kwanza anza kusema wewe una ugonjwa gani sugu uliokumotivate utafute huo mti na utamani kuupanda kwako!?
Kama una laki saba kwa kila mche ni PM
 
  • Thanks
Reactions: GUI
kwanza anza kusema wewe una ugonjwa gani sugu uliokumotivate utafute huo mti na utamani kuupanda kwako!?
Kama una laki saba kwa kila mche ni PM
Asante kwa kutumia Uhuru wako wakujieleza
 
Ndugu GUI nenda wanakouza miche ya miti utapa mche mzuri.Ninavyofahamu, katika vitalu vya miti haiuzwi ghali sana (Nadhani haifiki 5000 kwa mche).Ahsante
 
  • Thanks
Reactions: GUI
Ndugu GUI nenda wanakouza miche ya miti utapa mche mzuri.Ninavyofahamu, katika vitalu vya miti haiuzwi ghali sana (Nadhani haifiki 5000 kwa mche).Ahsante
Asante sana, nashukuru kwa mawazo yako ya kujenga
 
Mlonge kwa kihehe ni mwambie.

Mti wa mlonge una kazi gani mkuu
 
Ninazo za kutosha ni PM namba yako tuwasiliane
 
Back
Top Bottom