Biashara ya kuuza mwili yahalalishwa Senegal

Biashara ya kuuza mwili yahalalishwa Senegal

Kwann mnalazimisha watu wale kitimoto?

Yesu alikula kitimoto?

Kwan ukifanya dhambi moja unatakiwa ufanye na nyingne zote?

Je uislamu kuna sehemu wamehalalisha ukahaba?

Au huo ukahaba wao ni maamuz yao kama baadhi ya waislamu wanaokula kitimoto?

Acheni shobo na dini za watu nini makafir

Hujalazimishwa, vivyo msipangie watu nini Cha kuliwa kisa muarabu aliwaagiza kwenye dini yake.
 
Haya mambo bana, unakuta mtaani changudoa malaya kabisa unamuagizia beer na kila kitu ila ukitaja kitimoto anakuambia yeye muislamu. Sasa nchi ya Senegal kwao huko asilimia 97% waislamu ila wamehalalisha umalaya, sasa jaribu kwenda kuuza kitimoto uone ukichomwa moto mchana.

Majini hayapendi nyama ya nguruwe kabisa.
=============================


Earlier this week, the Economist published an article on the status of sex workers in Senegal, which has a ‘legalised’ model. It states that: “Senegal is the only place in Africa where sex workers are regulated by the state.”

The experience of many sex workers in much of Africa is very negative, due to widespread criminalisation of sex work, discrimination, stigma, violence against sex workers, and poor health-care systems. Senegal is the only African country where sex work is legalised, having passed its current law in 1969. Under Senegal's Penal Code (articles 318 to 327) sex workers must be at least 21 years old, register with the police, carry a valid health card, and test negative for sexually transmitted infections in order to be allowed to work legally. Sex workers must also report to designated registration sites for regular health check-ups, and the law requires sex workers to acquire keep current health books in order to avoid arrest. Police monitor sex workers to ensure that they attend these regular health check-ups. Identification cards confirm they are sex workers and give the sex workers access to some free health care, condoms and education initiatives.

The Senegalese system has its roots in the coun
Mtu hawezi kuwa muislamu mwenye kwenda msikitini na akawa na akili ...
 
Ni DINI GANI INAYORUHUSU KULA KITIMOTO NA MIMI NIJIUNGE NAYO
 
Ndugu mchungaji jifunze kutofautisha kati sheria za wanaadamu na amri za mungu, mfano wewe leo ukizini hatusemi ukristo umezini, bali ni wewe ndo umezini, ukristo utabaki vile vile kuwa umekataza kuzini, kwaiyo kama ni kweli huko senegal wamepitisha hiyo sheria, basi ujuwe hiyo ni sheria ya nchi na sio mafundisho ya quran.
Sheria za Mungu?
So zimewekwa huko kwenye Quran ili nani azifuate, Mungu au watu?
 
Jua kutofautisha baina ya uislamu na waislamu.

Uislamu umekamilika ila waislamu hawakukamilika Wana mapungufu yao ya kibinaadamu.

Nitajie huo unafiki wa Uislamu hata mmoja tu.

Hata muarabu Mohammad muasisi wa huo uislamu alikua na makando kando, sasa umekamilika kivipi, ukisoma mauchafu yake husababisha kichefu chefu Cha kutapikisha, mojawapo ni yeye kugegeda katoto Aisha kakiwa na umri wa miaka tisa, nyingine kusababisha mauaji ya kimbari kwa Wayahudi halafu akauza watoto wao utumwani.

Ukizingatia hapakua na ulazima wa yeye kuanzisha dini yake yenye mambo mengi yanayopingana na dini aliyoikuta, yeye kakurupuka na dini mpya inayohubiri ngono eti mabikira 72 peponi ujuha.
 
Kwani umesahau utopolo wenu wa kupiga watu Zanzibar kisa wanakula kipindi cha Ramadhani, mnalazimisha na kupangia watu wasioabudu katika huyo muarabu, wasiohusiana na uislamu wake, na wala hata sio sheria za nchi, upuzi tu.
Kwann ule mchana kwenye waislamu wengi si unataka vita mwenyw mbona watalii hawapigwi?
 
Hata muarabu Mohammad muasisi wa huo uislamu alikua na makando kando, sasa umekamilika kivipi, ukisoma mauchafu yake husababisha kichefu chefu Cha kutapikisha, mojawapo ni yeye kugegeda katoto Aisha kakiwa na umri wa miaka tisa, nyingine kusababisha mauaji ya kimbari kwa Wayahudi halafu akauza watoto wao utumwani.

Ukizingatia hapakua na ulazima wa yeye kuanzisha dini yake yenye mambo mengi yanayopingana na dini aliyoikuta, yeye kakurupuka na dini mpya inayohubiri ngono eti mabikira 72 peponi ujuha.
Sasa wewe point yako ipi hapo?
Au dosari unaiona wapi?
Uislamu umeusoma wapi?

Sasa acha nikujibu huo utata unaopitikia katika akili yako Hadi ukakufanya uutie dosari uislamu ni hivi:-
ni kweli mtume Muhammad s.a.w alimuoa bibi Aysha akiwa na miaka 7 na akamuingilia akiwa na miaka 9.
Hapa inaonesha nini? Ya kwamba kigezo Cha mwanamke kuweza kuolewa ni kubaleghe.

Alafu pia miaka 9 ya Enzi hiyo si sawa na miaka 9 ya zama zetu.

Hata watu wa zama hizo sio wa zama zetu katika ukuaji na utendaji kazi.
Wewe ukiambiwa babu yako mzaa Babu yako alikuwa akitembea kwa mguu kutoka songea Hadi morogoro ulikuwa ukishangaa ila ni kweli.

- nukta ya pili wapinzani wa mtume wa zama hizo mbona hawakumpinga mtume kumuoa bibi Aysha(r.a) akiwa na miaka 7 na kumuingilia akiwa na miaka 9?
Jambo hili limeibuliwa hivi sasa inamaana wapinzani wake wa zamana hizo walikuwa hawalioni?

Hii kuolewa kwa mwanamke mpka afikie umri wa miaka 18 ni nani ameianzisha?

Mbona bibi zetu waliolewa wakiwa na miaka 12,13,14,15 na walizaa watoto wenye afya mbona hili hulishangai na tena 9 kufikia miaka 12 ni tofauti miaka mitatu tu.
Na interval ya mabibi zetu Hadi kufikia kwa bibi Aysha mke wa mtume ni zaidi ya miaka 1200+ ( Karne ya saba).Mbona hili hulishangai?

Turudi katika zama zetu hizi, mtoto wa miaka 9 wa sudani ya kusini ni sawa na mtoto wa miaka 9 wa Tanzania kimaumbile?

Ukiambiwa huyu mtoto wa miaka 9 wa south sudani unaweza kuwa usiamini maana kimuonekano tayari anaonekana alishapevuka na kustawi kisawasawa.

Hapa Nina mengi ya kukujibu labda niishie kwenye nukta hizo.
 
Kwa kuwasaidia Watanzania wenzangu nendeni Senegal kuna fursa kinyama. Nina ofisi tatu na zote zinafanya vizur pale Dakar. Nataman wabongo wajifunze kutoka nje wajifunze ulimwengu mwingine. Hapo kenya jana bank kuu imetangaza kuuza bond kwa faida ya 12% kwa mwaka bado tupo tu hatustuki. Wazee tunapitwa.
 
Uislamu una unafiki sana
Kwa hiyo ukizini unatakiwa na dhambi nyingine ufanye?..uibe,udhulumu,uue,unyang'anye,uloge kwa kuwa tu kuna dhambi umefanya?..hivi huwa mnatumia vichwa vyenu vizuri,au ikiwa uislam tu akili zinawaruka?
 
Kwa hiyo ukizini unatakiwa na dhambi nyingine ufanye?..uibe,udhulumu,uue,unyang'anye,uloge kwa kuwa tu kuna dhambi umefanya?..hivi huwa mnatumia vichwa vyenu vizuri,au ikiwa uislam tu akili zinawaruka?
Kwamba dhambi zimetengwa kwa mafungu?
Kwamba dhambi fulani adhabu yake ni fulani tofauti na zingine?
 
Kwamba dhambi zimetengwa kwa mafungu?
Kwamba dhambi fulani adhabu yake ni fulani tofauti na zingine?
Unataka mtu akifanya dhambi moja basi afanye na zingine?..kisa anazini basi aue,aibe,aloge?..hizo akili au?
 
Ndugu mchungaji jifunze kutofautisha kati sheria za wanaadamu na amri za mungu, mfano wewe leo ukizini hatusemi ukristo umezini, bali ni wewe ndo umezini, ukristo utabaki vile vile kuwa umekataza kuzini, kwaiyo kama ni kweli huko senegal wamepitisha hiyo sheria, basi ujuwe hiyo ni sheria ya nchi na sio mafundisho ya quran.
Nyinyi mkiwaga wengi hamtofautishi dini na serikali...Uturuki nafikiri ndo wameweza - kama uko western country..
 
Kwann mnalazimisha watu wale kitimoto?

Yesu alikula kitimoto?

Kwan ukifanya dhambi moja unatakiwa ufanye na nyingne zote?

Je uislamu kuna sehemu wamehalalisha ukahaba?

Au huo ukahaba wao ni maamuz yao kama baadhi ya waislamu wanaokula kitimoto?

Acheni shobo na dini za watu nini makafir
Katika Uislam Kula kiti moto Sio dhambi according to Quran - Quran 2:172
Al-Barwani
Yeye amekuharimishieni mzoga tu na damu na nyama ya nguruwe na kilicho tajiwa, katika kuchinjwa kwake, jina la asiye kuwa Mwenyezi Mungu. Lakini aliye fikiwa na dharura bila ya kutamani wala kupita kiasi, yeye hana dhambi. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu.

Uislam unatakiwa ufanye dhambi kila siku na usipofanya dhambi Alah atakubadilisha na mtu mwingine kwani yeye anapenda kuombwa msamaha According to Mohammad hahaha -
Sahih Muslim 2749 , Book 50, Hadith 13
Abu Huraira reported Allah's Messenger (ﷺ) having said:

By Him in Whose Hand is my life, if you were not to commit sin,(Usipofanya dhambi) Allah would sweep you out of existence(Allah atakufuta katika ulimwengu huu) and He would replace(Atakubadilisha mubadala) (you by) those people who would commit sin(Na watu wengine watakaofanya dhambi) and seek forgiveness from Allah,(na kuomba msamaha kwa Allah) and He would have pardoned them.(na Allah atawasamehe)

Hivi Allah ni Mungu kweli au ni ndie Iblisi?

Uislam umehalalisha Ukahaba Duniani na Firdaus - Kuna Ndoa inaitwa Muta unakodi demu kwa dakika au Saa au siku kuanzia moja hadi tatu ikikupendeza unaongeza. Huko Firdaus ndio pimp house unaweza zini na yeyote iwe mwanamke au mwanaume hata Allah unaweza kumnjunja au akunjunje mnaweza hata peana zamu ametoa ruksa chochote utakacho kinafanyika

Muta-Marriage (PDF)

The Four Pillars Of Mut'a | Muta', Temporary Marriage in ...


Makafir nadhani hujui tafsiri yake ni wale wanaopinga uwepo wa Mungu ukianzia na Allah anasema Hakuna Mungu ila Yeye, Wanaopinga Yesu ni Mwana wa Mungu ni Makafiri.

Nimefurahi umesema Dini za Watu. umethibitisha Uislam ni dini ya Mtu na Sio ya Mungu hahahaha
 
huo ni ukahaba na siyo umalaya ingawaje inaweza kuonekana kama hakuna tofauti lkn ipo, malaya ni tabia ya mtu na siyo lzm alipwe wakati ukahaba ni kazi, anayefanya ukahaba analipwa “mshahara” kuendesha maisha yake wakati malaya anapenda tu sex.

siyo kila malaya ni kahaba …
Naam, si kila mwizi ni jambazi!
 
Back
Top Bottom