Biashara ya kuuza mwili yahalalishwa Senegal

Biashara ya kuuza mwili yahalalishwa Senegal

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
33,476
Reaction score
53,335
Haya mambo bana, unakuta mtaani changudoa malaya kabisa unamuagizia beer na kila kitu ila ukitaja kitimoto anakuambia yeye muislamu. Sasa nchi ya Senegal kwao huko asilimia 97% waislamu ila wamehalalisha umalaya, sasa jaribu kwenda kuuza kitimoto uone ukichomwa moto mchana.

Majini hayapendi nyama ya nguruwe kabisa.
=============================

Earlier this week, the Economist published an article on the status of sex workers in Senegal, which has a ‘legalised’ model. It states that: “Senegal is the only place in Africa where sex workers are regulated by the state.”

The experience of many sex workers in much of Africa is very negative, due to widespread criminalisation of sex work, discrimination, stigma, violence against sex workers, and poor health-care systems. Senegal is the only African country where sex work is legalised, having passed its current law in 1969.

Under Senegal's Penal Code (articles 318 to 327) sex workers must be at least 21 years old, register with the police, carry a valid health card, and test negative for sexually transmitted infections in order to be allowed to work legally.

Sex workers must also report to designated registration sites for regular health check-ups, and the law requires sex workers to acquire keep current health books in order to avoid arrest. Police monitor sex workers to ensure that they attend these regular health check-ups.

Identification cards confirm they are sex workers and give the sex workers access to some free health care, condoms and education initiatives.
 
1763027828965.jpeg
 
Nina jamaa zangu kadhaa ninao wafahamu wanafuga Nguruwe(Kitimoto),Nimewahi kuwauliza kwanini wanafanya hivyo na dini Yao hairuhusu!

Waliniambia wao hawali ila wanafuga Kwa ajili ya wanaokula!,Hivyo wao ni wafanyabiashara na wanatafuta pesa,Kama wao hawali Kitimoto haiwazuii wao kufuga na kuuza Kwa wanaokula Ili kujipatia kipato!

So huu Uzi naufananisha na stori za hao jamaa zangu Muslims
 
Ndugu mchungaji jifunze kutofautisha kati sheria za wanaadamu na amri za mungu, mfano wewe leo ukizini hatusemi ukristo umezini, bali ni wewe ndo umezini, ukristo utabaki vile vile kuwa umekataza kuzini, kwaiyo kama ni kweli huko senegal wamepitisha hiyo sheria, basi ujuwe hiyo ni sheria ya nchi na sio mafundisho ya quran.
 
Nyie mnapenda kulazimisha masuala ya dini, tangu Muhammad aanzishe hiyo dini, alilazimisha watu wengi sana na mpaka leo mnalazimisha, nakumbuka kule Zanzibar mkicharaza watu viboko kisa wanakula kipindi cha ramadhani ilhali hamna sheria kama hiyo kiserikali, kwa kifupi hamna namna ya kutofautisha matukio yenu na hiyo dini ya muarabu.
 
huo ni ukahaba na siyo umalaya ingawaje inaweza kuonekana kama hakuna tofauti lkn ipo, malaya ni tabia ya mtu na siyo lzm alipwe wakati ukahaba ni kazi, anayefanya ukahaba analipwa “mshahara” kuendesha maisha yake wakati malaya anapenda tu sex.

siyo kila malaya ni kahaba …
 
Nambie amri moja tu anbayo ni ya mungu
Ndugu mchungaji jifunze kutofautisha kati sheria za wanaadamu na amri za mungu, mfano wewe leo ukizini hatusemi ukristo umezini, bali ni wewe ndo umezini, ukristo utabaki vile vile kuwa umekataza kuzini, kwaiyo kama ni kweli huko senegal wamepitisha hiyo sheria, basi ujuwe hiyo ni sheria ya nchi na sio mafundisho ya quran.
 
Iran ni Islamic state ila ni nchi za mwanzoni kupatwa kashifa ya kibadili vijana wa kiume jinsia wawe WANAWAKE kisheria ili wachezee timu ya mpira ya wanawake
Na walipokuwa wanamaliza walikuwa wanapigwa vishipa na viongozi wao YANI IRAN NI KAMA SODOMA NA GOMORA
 
Kwann mnalazimisha watu wale kitimoto?

Yesu alikula kitimoto?

Kwan ukifanya dhambi moja unatakiwa ufanye na nyingne zote?

Je uislamu kuna sehemu wamehalalisha ukahaba?

Au huo ukahaba wao ni maamuz yao kama baadhi ya waislamu wanaokula kitimoto?

Acheni shobo na dini za watu nini makafir
 
Back
Top Bottom