monopoly inc
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 5,243
- 11,421
Acha mbwembwe weweKwanza kabisa hii biashara inagusa hitaji la msingi la mwanadam ambalo ni chakula, ni lazima ule ili uweze kuishi na kila siku mahitaji yetu tunayapata sokoni, dukani au gengeni kwahiyo ni uhakika kabisa kuwa na wateja tena kila siku asubuhi mchana na usiku
Kingine nina rafiki yangu mimi ana hii biashara ndo inamuweka mjini anatengeneza faida nzuri sana na wateja wanamiminika kwa wingi sana na tips anazotumia ndo hizo hizo nilizoelezea hapo juu!!!!
Usiuze vitu ghali sana uza walau bei ya sokoni au inayokaribiana na sokoni ili hata mtu akiwaza unavyouza aone ni sawa tu na sokoni aone kwenda buguruni sokoni kununua nyanya ni sawa tu na kununua kwako maana unauza sawa tu na sokoni
Mkuu,kitu cha kuzingatia katika biashara sana sana ni ubora wa bidhaa na huduma(customer care)
Sasa ikitokea ukauza bei inayokaribiana na ya sokoni huoni kama inaweza kutokea hasara?manake kama muuza genge anachukua mzigo sokoni means kuna gharama nyingine kama usafiri/kubebewa mizigo
Mie naona kupanga bei ya unachouza unatakiwa kuzingatia sana na gharama ulizotumia kufikisha hizo bidhaa hapo zilipo
Genge linataka mtaji mdogo lakini faida yake ni nzuri sana
Sawa ila fahamu tu kuwa Biashara ya Genge haitaki Mtaji mdogo
Genge ni moja ya biashara zenye faida lakini ili uweze kudumu kweye biashara ya Genge,hautakiwi uwe na mtaji mdogo kama tunavyoaminishana,ni kweli vitu vya gengeni n vya sh.100,200 hadi 1000 vitu vinachezea humo lakini vitu hivi kumbuka unavinunua kwa jumla ili uviuze kwa reja reja.
ukisema genge linahitaji mtaji mdogo maana yake unasema mtu akienda kufungua genge, Basi anunue nyanya za 5000 anunue vitunguu vya 2000 karoti k za 5000,nk nk halafu aje auze apate faida..sidhan kama atatoboa.
hii biashara ili uone faida n lazima uingie ukiwa umejipanga,Uweze kununua vitunguu gunia,viazi gunia,na maviungo mengine pia,nk nk
Biashara ya Genge n biashara inayotaka kila siku uweke nyanya mpya,karoti mpya,hoho mpya ili hizi mpya ziweze kuuza zile za jana zilizosinyaa sinyaa,sasa utapata wapi hela ya kununua hoho mpya kama mtaji wako wa hoho uliishia jana kwa kuamini zingenunulika?
Biashara ya Genge ni nzuri lakni uzuri wa biashara hii ni kwa wale wenye mitaji,mtu sio una hela mawazo halafu unafungua genge (utakufa) katka biashara sishauri anaeanza ujasiriamali aanze nayo kama hana mtaji ni Biashara ya GENGE.
Ukiona muuza genge anasomesha,anajenga,anafanya maajabu halafu anakwambia Genge ndio kila kitu kwake Usifikiri alianza na mtaji Mdogo, hamna hiyo.
Laki 5 yenyewe iwe ya kuchukulia mzigo yote,sio yakuanza kutengeneza meza,sijui ukarabat wann na nn NO vyote uwe ushakamilisha imebaki kununua mzigo na kuweka kuanza.Umechangia vizuri sana lakin biashara ya genge inataka mtaji kidogo tu hata ukiwa na laki 5 tu unaweza kuifanya
Kweli kabisa kuna genge moja hilo hatar ukienda saa 8 mchana hukut kitu ingawa asubuh anashusha magunia ya bidhaa.Siku hizi wauza magenge wanachukua sokoni lakini sio kwa retailers wanachukua kwa wholesalers ambao wanaleta sokoni kuwauzia retailers sasa muuza genge naye anaenda ananunua kwa wholesalers kama retailers
Maana mtu wa genge ukinunua kwa retailers sokoni utaambulia hasara
Kwanini unamwambia hivyo mkuu😆Acha mbwembwe wewe
Ameongea ki nadharia sana kuliko uhalisiaKwanini unamwambia hivyo mkuu
kweli kabisa kuna genge moja hilo hatar ukienda saa 8 mchana hukut kitu ingawa asubuh anashusha magunia ya bidhaa
[/QU
Mkurugenzi hata 300000 kwa genge unaanza mzunguko ukiwa mzuri faida ikiwa kubwa mtaji unakuwa sawa tu unaanza na vitu vile mhimu halafu tusisahau hivi ni vitu vya kuharbika kila kitu kwa mda wake.Sawa ila fahamu tu kuwa Biashara ya Genge haitaki Mtaji mdogo
Genge ni moja ya biashara zenye faida lakini ili uweze kudumu kweye biashara ya Genge,hautakiwi uwe na mtaji mdogo kama tunavyoaminishana,ni kweli vitu vya gengeni n vya sh.100,200 hadi 1000 vitu vinachezea humo lakini vitu hivi kumbuka unavinunua kwa jumla ili uviuze kwa reja reja.
ukisema genge linahitaji mtaji mdogo maana yake unasema mtu akienda kufungua genge, Basi anunue nyanya za 5000 anunue vitunguu vya 2000 karoti k za 5000,nk nk halafu aje auze apate faida..sidhan kama atatoboa.
hii biashara ili uone faida n lazima uingie ukiwa umejipanga,Uweze kununua vitunguu gunia,viazi gunia,na maviungo mengine pia,nk nk
Biashara ya Genge n biashara inayotaka kila siku uweke nyanya mpya,karoti mpya,hoho mpya ili hizi mpya ziweze kuuza zile za jana zilizosinyaa sinyaa,sasa utapata wapi hela ya kununua hoho mpya kama mtaji wako wa hoho uliishia jana kwa kuamini zingenunulika?
Biashara ya Genge ni nzuri lakni uzuri wa biashara hii ni kwa wale wenye mitaji,mtu sio una hela mawazo halafu unafungua genge (utakufa) katka biashara sishauri anaeanza ujasiriamali aanze nayo kama hana mtaji ni Biashara ya GENGE.
Ukiona muuza genge anasomesha,anajenga,anafanya maajabu halafu anakwambia Genge ndio kila kitu kwake Usifikiri alianza na mtaji Mdogo, hamna hiyo.
Viazi JE + Viungo vya chai na Pilau!? Akiba JE?! na pia Laki 3 unaanza sijakataa naMkurugenzi hata 300000 kwa genge unaanza mzunguko ukiwa mzuri faida ikiwa kubwa mtaji unakuwa sawa tu unaanza na vitu vile mhimu halafu tusisahau hivi ni vitu vya kuharbika kila kitu kwa mda wake.
Hivyo lazima uanze kupima upepo kwa vitu mhimu kidogokidogo mfano gunia LA viaz 60000
Nyanya boks 1 35000 kwa sasa
Nazi 100 ,sh 90000
Vitunguu kilo 20, 10000 vilivyobaki hapo siyo gharama hiyo laki inatosha
Uko sawa hakuna anayependa kuanza na mtaji mdogo ila inafika kipindi unaona kabisa haina jinsi inakubidi uanze na kidogo kilichopo maana maisha yetu wengi ni kuungaunga tu mkurugenzi.Viazi JE + Viungo vya chai na Pilau!? Akiba JE?! na pia Laki 3 unaanza sijakataa na
hata ukitaka genge la mtaji 50,000 inawezekana lakini swali ni kwamba upo serious
na hiyo biashara? Kama jibu ni "ndio" basi huwezi anza biashara ya mali kuoza na mtaji wa kusua sua.
Hapo ndo kwenye point.Ukiweka sawa na sokoni itakula kwako.Mkuu,kitu cha kuzingatia katika biashara sana sana ni ubora wa bidhaa na huduma(customer care)